JF Freestyle battle special thread

JF Freestyle battle special thread

hahahhaaha
ngoja kwanza nishike suruali yangu chini ya zipu kama style ya AMOEBA hii

MTM ni ndugu yake PAW,
baadi ya watu hawamkubali PAW,
anayemwaga ban nyingi hap JF ni PAW,
PAW kama papai PAW ni PAW kama PAW,
ukimwaga upupu hapa JF anayekuja na rungu ni PAW,
MTM kuwa makini hata kama humjui huyu jamaa anayeitwa PAW,
MTM anapigwa na mgao wa umeme na vumbi la bongo il ukizingukua huachwi na PAW,
yo yo yo nipe mic nimwage nyuki kama zitto na mnyika au mbowe au mtema au lema bila kumuogopa PAW,
HAHAHA ...............

nini paw, kuna faw
na bi chau, hata dau
wote chanu, nakisanu
kata bao, kata kiu
chapa wao, hadi kwao

hahaaaaaaaaa.... nani paw
kwa kuzuga, kakuzuga
kisa ivuga, nikapiga
buti nunda, shati tunda
piga funda, nimekudunda

chapa lapa, kama kapa
kimechapa, kwa kurapa
toka kapa, kama banka

.........am out
 
nini paw, kuna faw
na bi chau, hata dau
wote chanu, nakisanu
kata bao, kata kiu
chapa wao, hadi kwao

hahaaaaaaaaa.... nani paw
kwa kuzuga, kakuzuga
kisa ivuga, nikapiga
buti nunda, shati tunda
piga funda, nimekudunda

chapa lapa, kama kapa
kimechapa, kwa kurapa
toka kapa, kama banka

.........am out

salute.. we jamaa ni mkali. ngoja nikapige mmoja moto moa baridi nitarudi
 
nini paw, kuna faw
na bi chau, hata dau
wote chanu, nakisanu
kata bao, kata kiu
chapa wao, hadi kwao

hahaaaaaaaaa.... nani paw
kwa kuzuga, kakuzuga
kisa ivuga, nikapiga
buti nunda, shati tunda
piga funda, nimekudunda

chapa lapa, kama kapa
kimechapa, kwa kurapa
toka kapa, kama banka

.........am out

nimekubali we mkali MTM kama ATM
kama chama we ni CDM wala si CCM
we kwenye game kama rubani wa KLM
si kama MWANANABUHI suka wa DCM
au WANAJESHI wa kikosi cha KM KM
 
nini paw, kuna fawna bi chau, hata dauwote chanu, nakisanukata bao, kata kiuchapa wao, hadi kwaohahaaaaaaaaa.... nani pawkwa kuzuga, kakuzugakisa ivuga, nikapigabuti nunda, shati tundapiga funda, nimekudundachapa lapa, kama kapakimechapa, kwa kurapatoka kapa, kama banka.........am out
duh kijana nimekusoma.., unachoma deep kwenye corona..., i love how u flow now..,show how.., everyone should do the flow..., flex da eyeblow....,make em' cats go meaow...., i'm out like bowow..., wow
 
nimesoma tangu mwanzo wa thread mpaka hapa
sijaona chochote yani kapa
japo mi demu lakini nimekuja kuwachapa
si mdogo mdogo yani fasta
Good guy,mtm,pat gucci yani kapa
 
Hahahaha...
sicheki kwa furaha ila tele huzuni
vichwa vimewajaa funza na uhuni
fanyeni kazi acheni zenu fitini
kaa mmekosa kazi nasema kalaleni!
Nimeingia...

We unafanya nini hapa?!

Ungekua sio kaka yangu ningekutoa mkuku
kama mwewe mla kuku..
 
We unafanya nini hapa?!Ungekua sio kaka yangu ningekutoa mkukukama mwewe mla kuku..
anajita Lizzy..., analeta viuchokozi..., namzimia ni crazy...., japo kajaa pozy....,ananiacha daisy...,hello there ma baby....,au wewe ni grany.....,waambie hawaniwezi....,anga zile za weezy..., feza kama za jay-Z...., chokoza nikupe dozi...., kama ivuga kojozi...., sura kama ya mbuzi...., jamaa ni mpuuzi....., ana dem tu kwene njozi...., sekunde katoa shuzi...., mmh zzzzz.....ANAEBISHA MBONA HATOKEZI??
 
hahahaaa..we good guy ni kilazasio good guy ni good gay bila kuwaza,demu ni kichec** watu hula bila kusaza,we ni mtambo unajiliwaza,huwezi kucheza na saint ni kiboko ya yotesaint hababaiki wala hali vitu vya wote,wewe bakia tu na huyo demu cha wote,naweza kumwaga mipesa kama birdmansitaki longolongo kwani mimi ni gentleman..Wats uuuup!!! Take mic yoooooooo!!
 
Radical nina ku-call
Pembeni nipo na shori
MTM hizi si stori
AK-47 ni silaha hatari
 
hahahaaa..we good guy ni kilazasio good guy ni good gay bila kuwaza,demu ni kichec** watu hula bila kusaza,we ni mtambo unajiliwaza,huwezi kucheza na saint ni kiboko ya yotesaint hababaiki wala hali vitu vya wote,wewe bakia tu na huyo demu cha wote,naweza kumwaga mipesa kama birdmansitaki longolongo kwani mimi ni gentleman..Wats uuuup!!! Take mic yoooooooo!!
haha ananiita gay...., akitega mi sikosei....., paw weka replay...., yeeahh.. ananita gay....,ukitega mi sikosei...., kama buffy mi naku slay...., what i say you must obey...., i'm your god you must pray....., nakucrash then na pay...., birdman pimbi mambo ni Jay...., he does the play...., huwezi hata ku weigh....., ushajamba men go away....,
 
Jay z wa ukweli ila mi simkubaliJay z ni pimbi namuoan kama mwanawaliCash money wa ukweli nakupa huu ukweliAnza na maalbamu na wayne liliNjoo cheka na dogo drake haachi hadi wali,cheki kitu lillipop niguse na leather so softiThe sky the limit im not human being hayo madude yote ya long time Every thing trapped ..aaaa ngoja nikuache ukapige stori na lizzi,Namwaga nyuki kama mchawiSifuati vila mimi namwaga mimeseji.
 
yani hujui hata kuchana...., unatoa mipasho tu kama msichana...., waropoka ndo mana wanakuboner..., wanafurahi wakubanapo kwene vi corner...., kijana mi naflow ngumu kama colonar...., potea na mistari yako ka Tina turner...., unanuka hebu pitia hiyo cleaner...., fanya kazi acha wanaume kuchunachuna....., me ndo Good guy aka msitu wa vina....
 
Naona mnaandika mistari isiyo na vina, niachieni baba yenu niandike mistar kiutu uzima, ingawa sina jna bal naeshima ndo waliokosa wasanii wa bongo nzimaa
 
Hey lets redo it nigga....
Wajinga wanaiga,
Bado nawapiga,
Kwa hizi flow najaza ndoo..
Hesabu mpaka mbili...
Nakupa freestyle
unaruka ka' tumbili
Haya malapa si kandambili..
Nawataka wawili wawili..
Mmoja hanitoshi,
Sijachoka kula moshi!
 
mnyama kenge
nakupenda kama kitenge
sauti yako sio kama maulidi wa kitenge
wasio kujua lazima wameingia mkenge
aaaa kengeeee ngozi yako tu kengeeeee
nipe biti niwape faida zake na na madoido ya kenge
 
Battling is the basis for all rap music. The battle is the truest essence of rap and where rap music started. The object of a rap battle is to come up with insulting rap lyrics on the spot (not pre-written or pre-meditated) and rap them towards an opponent. The rapper with the best delivery, lyrics, and crowd response usually wins.

Learn to accept that it's only a vocal battle and there is no chance of you actually losing your life, surviving a rap battle is easier than it seems and happens to both contenders almost always unless a less traditional type of rap is performed, involving physical contact or firearms

Mfano tu....

DSC03553-1933.jpg

Title yenyewe inajieleza namaanisha nini
Naanza na wewe uliyefulia kijana kloroquin
Mwanzoni nilihisi wewe mkali ka vile quinin
Kwa mashairi yako nimegundua sio makini
Ulijigamba ww ni tajiri wa vina na sio masikini
Nakusubiri kwenye next reply nione wako umakini.
Radical na Burn mko wapi kwenye yetu hii fani

Tuendeleee...

DISCLAIMER: MASHAIRI YOTE YATAKAYOPOSTIWA HAPA YATABAKIA MALI YA JAMII FORUM. COM.
nani kwini?mi muarubaini.dem wako ana clap jinsi narap.eboo unakuja resi ka gari isiyo na break........
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom