Nipeni Key za hii battle,
Kisha na enter kwa style za pablo,
Sina haja ya intro jina langu nastahi
Nimekuja kuvunja kwa style za samurai,
Wala sioni hatari kugonga big g na chai,
Nagonga ndala na tai,
Nikizidisha sadaka church nadai,
Kwa milupo sifai, ooh yeah am so fly,
Najua mnakubali, Si Nguli si jabali,
Du mi mchizi hatari,Naposhuka mistari,
Vimeo na nakabiri,Nimeji pack na gun mbili,
Kwenye buti ya baskeli, Am a world wide milli,
Tusibishane kwa hili,
Navuta kila ganja,mavuzi naweka wanja,
Kisha natimba viwanja, nawaambukiza ujanja,
Ukinipeleka milembe, siku mbili nakuwa kiranja,
Sifanani ****, jela mi mnyampara,
Ka hizi sixteen bar, demu wako nampiga para,
Si masihara, zaidi ya fidel 80 napenda ku..ra
Kwenye doti weka fi, na sisitiza usafi,
aaaghr namaliza kwa stavi kisha nakula maviiiii!!!!!