JF Freestyle battle special thread

JF Freestyle battle special thread

Yooooh people
I never saw this thread before
Coz I wanna show you guyz how to flow
Mistari yangu white kama snow
If u think you're good let's flow
 
nani anataka beto na mimi, here i am..
ukija kwa kujiamini..me nakuchana ka ckufahamu..
kichwa kimejaa line..hazipungui ka benki ya sperm
 
Hii kitu kumbe bado ipo? Nakumbuka enzi hizo nilimchana sana invisible na kundi lililojiita wapwa
 
aha! naona wote hamjui,
mnaropokaropoka TU kama mtoto anayelia kuchom NDUI,
Kwenye hii gemu hunijui,
lakini mi ni mbaya mkali kama chui,
ondokeni kwenye hii gem nyie ni maadui
mmetepeta kama utando wa buibui,
mngekuwa wanawake basi wote ni tasa hamzai,
nyie ni mabeki tatu tuwekeeni mabwana zenu chai,
washamba mnavaa suti bila tai,
wajinga mlisoma hesabu afu hamuijui pai,
mnazulula kila kona kama wamasai,
hamdisishi hamsimamishi kama maksai,
 
nani anataka beto na mimi, here i am..
ukija kwa kujiamini..me nakuchana ka ckufahamu..
kichwa kimejaa line..hazipungui ka benki ya sperm
we mtoto wa mama,
unabebwa kama taasisi ya wama,
mi we huniwezi kama sindano nachoma,
mistari yako haina ladha kama matunda ya michongoma,
kichwa chako kimejaa line au mipicha ya mijimama,
we si chochote si lolote bora ukakate viuno kwenye ngoma,
au kawite mabitoz wenzio mkafanye usodoma,
hapa ni iringa si mwanza, arusha dar wala kigoma.
 
Yo yo yo yo ma ma ma ma ma ba ba ba ba ba ka ke ka ka ka ka ka ka bababa batila ka ka ak
 
Mbona unagunaguna kama umelewa,unajisifu kuonea wasioelewa,mtu mwenyewe mwembamba ka chelewa,halafu na majimama unalelewa,unalewa pombe za kupewa.
Halafu unajiona mjanja,mjanja gani huna mkwanja,huwezi kumiliki redio unajisifu una kiwanja,ogopa sana kwenye hii bttl mm ndo kiranja.haaa
 
I see cats wanna battle, and that's cool/
But yo shit so terrible, you can't fool/
I ain't no teacher, but i can take u to school/
And spread the word like a preacher, just sit tight on the stool/ took a few seconds to come up with this, you wouldn't have noticed but here i confess/ what up!
 
Sup copy kittens/
I got style n my hustle z tighten/
I got an extra gun/
Nigga watch me poppin
 
Freestyle bato, nazibato kwa dodoso,

emc kipaji zero,
kuchana huwezi waona so,

jifanye we mgumu,
nikutie dole kama nyoso,

ebwana da ushanjua mi mkali,
so stay fr0m magnifico,

yeah!
 
Freestyle bato, nazibato kwa dodoso,

emc kipaji zero,
kuchana huwezi waona so,

jifanye we mgumu,
nikutie dole kama nyoso,

ebwana da ushanjua mi mkali,
so stay fr0m magnifico,

yeah!

Kwa line hizi mchizi bado piga tizi
Huna punchlines na flow kigugumizi,
Kibogoyo huna meno kwenye fizi,
Freestylin is no easy,
Siku hizi masoro wana squeeze
Kama kaweezy bila beat na ku freeze
Kwa flow hizi naweza ku battle na weezy
Au lord easy kwa hapa TeeZee
Na ukilegea siku tii na nakuchomeka ndizi,
Naogopa paparazzi na waduanzi
Wasije kupa kiki upate ganzi,
Ujikute Mzamili Katunzi,
Ucheze na wachina nyeti wazikate kama vuzi,
Ubaki loose tu na ushuzi
Au uanze kunengua kama aisha mashauzi,
Ibaki kukuvisha under skate na blauzi
Hahaha umechokoza moto we tozi,
 
Kwa line hizi mchizi bado piga tizi
Huna punchlines na flow kigugumizi,
Kibogoyo huna meno kwenye fizi,
Freestylin is no easy,
Siku hizi masoro wana squeeze
Kama kaweezy bila beat na ku freeze
Kwa flow hizi naweza ku battle na weezy
Au lord easy kwa hapa TeeZee
Na ukilegea siku tii na nakuchomeka ndizi,
Naogopa paparazzi na waduanzi
Wasije kupa kiki upate ganzi,
Ujikute Mzamili Katunzi,
Ucheze na wachina nyeti wazikate kama vuzi,
Ubaki loose tu na ushuzi
Au uanze kunengua kama aisha mashauzi,
Ibaki kukuvisha under skate na blauzi
Hahaha umechokoza moto we tozi,
Sishangai kusikia hii mistari kaka umecopy
Usipocopy hv ni wapi utapata noti?
Nimehustle toka long time ila bado 'sitoki'
Na hata nikitoka sidhan ka nitabaki
Nikibaki sina haki ya kuendelea kubaki
Na Kibaki wa masaki kurudi kwao hataki (kenyaa)

Wanasiasa bado wana uroho wao wa madaraka
Hawana hoja wamebaki kutupiana takataka
Wanatudanganya kwa push up eti kisa kura wanataka
Am on fire naikamata mike mistari naisaaka

Mi msema kwel ila bado sijamfikia ROMA
yeye nakubali ni mkali mistari yake ni noma
Taratibu nitamfikia ila mpaka nitoe ngoma
Bado ni underground wana jf mmenisoma????
(out)
 
Kwa line hizi mchizi bado piga tizi
Huna punchlines na flow kigugumizi,
Kibogoyo huna meno kwenye fizi,
Freestylin is no easy,
Siku hizi masoro wana squeeze
Kama kaweezy bila beat na ku freeze
Kwa flow hizi naweza ku battle na weezy
Au lord easy kwa hapa TeeZee
Na ukilegea siku tii na nakuchomeka ndizi,
Naogopa paparazzi na waduanzi
Wasije kupa kiki upate ganzi,
Ujikute Mzamili Katunzi,
Ucheze na wachina nyeti wazikate kama vuzi,
Ubaki loose tu na ushuzi
Au uanze kunengua kama aisha mashauzi,
Ibaki kukuvisha under skate na blauzi
Hahaha umechokoza moto we tozi,

Nakupa uhuru mada kuchagua,
ila stil nakutusua,

Nduka nduka nduka,
kwangu inasound mwanahawa,

flow zero vesi negzero,
na unataka kumbato weezy,

emc huna kipaji,
fanya ukachome ndizi,

una mlengo wa kilebali,
wenye hisan ya wamarekani,

kwa flow hatulingani,
kama mrbean na maklegani,

kama we ni mc,
jibu hapa kwa fasihi,

kilaza nakuelimisha,
upate japo grade c,

sina mistari ya kimwanza mwanza,
useme namkopi msodoki,

na kwa vesi hizo,
nahakika hutoki,

mara nduka mara tozi,
mtoto huna msimamo,

jipange usije olewa,
na kibabu cha makamo,

yeah!

Nduka
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom