Hahahahahahaaaaaa wataje haraka...ila Amyner hakuhusu
Mie mchezaji kiraka mkinipanga beki, NITAWACHEZEA NYUMA HADI mtafurahi,
mkinipangia MBELE NITAWASUUZA na mtafurahia na pia niko mahiri kutia mabao ya kichwa!
HahahahaaaaJukwaa la siasa tushaandaa jezi, tutapiga uzi wa maana! Hatuvai bukta,tutapiga 'topsi' la gwanda kama Cdm, uzi wa juu utakuwa na rangi kama bendera ya chadema. Ritz, Rejeo na pasco, hawatapangwa. Hawachelewi kupokea ki2 kidogo toka 'chit chat' c unajua tena wale ni magamba, na rushwa ni sehemu yao.
Usipowataja ndo wewe utaonekana mmbeya...na watakuja kujitaja wenyewe...utasutwa...
Dah we hufai....utapendelea jukwaa la siasa....lol
Namba moja maziwa ya mgando.
Namba mbili ODM
Namba tatu Bishanga
Namba nne Rejao
Namba tano EMT
Namba tano Babu DC
namba sita Nzi
namba saba Mbu
namba nane Bagah
Namba tisa Tanmo
Namba kumi Nyani Ngabu
Namba eleven The Finest
Reserves:
mtaly
Judgement
And son on
hii ndo timu yangu ya mpira hapa jf.
Washangiliani namba wani Husyn, mbishi huyu
na wengine wote sasa.
Namba moja maziwa ya mgando.
Namba mbili ODM
Namba tatu Bishanga
Namba nne Rejao
Namba tano EMT
Namba tano Babu DC
namba sita Nzi
namba saba Mbu
namba nane Bagah
Namba tisa Tanmo
Namba kumi Nyani Ngabu
Namba eleven The Finest
Reserves:
mtaly
Judgement
And son on
hii ndo timu yangu ya mpira hapa jf.
Washangiliani namba wani Husyn, mbishi huyu
na wengine wote sasa.