JF Focus: Side Comments: Exclusive Interview with JamiiForums founder - Maxence Melo

JF Focus: Side Comments: Exclusive Interview with JamiiForums founder - Maxence Melo

Status
Not open for further replies.
AshaDii maswali unayapata wapi mbona ya hapa mengi hujayapeleka kule? Afu uliyouliza sasa hivi hapa siyaoni? Au unapokea mashwali through PM?

Ipycalypse... Inatakiwa uwe na subira mkuu... Maswali yapo sio chini ya 15, mengine yaliulizwa kumnyambulisho mno... Hivo yameboreshwa kuwa kila swali walau likave swala fulani. Hayo maswali yoote ni toka kwa members.. na yalikusanywa kwenye thread yenye link hii nakupatia... https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/307782-jf-focus-interview-with-maxence-melo.html

Naomba tu uwe na subira... na pia naomba ushirikiano wako wa kuuliza maswali na swali lako litafanyiwa kazi... Kingine cha muhimu utambue kuwa haya maswali ya sasa yatakuwa mwisho baada ya yale yalokusanywa... I hope tupo pamoja mwanzo mwisho.
 
Asante Maxence Melo...sikujua kama na mimi ni mkongwe humu JF maana nakuja kwa kubeep zaidi. Hata hivyo JF imekuwa ndo sebuleni kwangu maana karibu kila wakati nikilwa free nijikuta nimetumbukia humu. Na napenda kukiri wazi kwamba JF ina mchango mkubwa sana kwenye mitazamo ya sasa ya maisha yangu. Long live JF!
 
Mwezi Juni mwaka huu ulitimiza miaka 4 ndani ya JF. Hujaikimbia JF, umeichangia na ukawa Premium Member. Wewe ni wazi unaweza kuwaeleza mengi wale waliojiunga 2010 hadi sasa, umeyaona mengi mazuri na mabaya ndani ya JF. Unajua pumba na mchele vikoje!

Ahsante kwa kuendelea kutuunga mkono, katika shida na raha.
 
Nachangia kwasababu nasukumwa zaidi na kuona nayo inasimama na inaendelea. Sijui dhoruba nyingi za huko tulikotoka...ila naamini kazi kubwa bado ipo maana JF imekuwa kama mwanga kwenye hili giza totoro tunalopitia. Na watu wenye maguvu hawapendi kuona dalili zozote za uwepo wa mwanga. Kikubwa tuombeane heri..tusibadilike katikati ya bahari yenye machafuko na mawimbi mengi tukaangalia nyuma.
 
cracking of you here here where King'asti? promise you make of melo of coming and of talking for both of members but not true, people we waited and not come the Melo until by now not talked, why? electric not good to Melo we understand why? no generator? if go to friends and the laptop and get get electric to talk to me and all of we here in JF only! not possible?. ask of this question me very angry and the members very very very angry! oooh! be true please!
Hahaha! Me cracking up, here here
 
Button yangu ya "like" leo haifanyi kazi kabisa.Welcome back Asha Dii tulikumiss sana humu.Pia namshukuru Max kwajinsi anavyoyajibu maswali kwa uhakika.Long live JF!
 
Swali langu kwa Max ni hili

Last time jf ilikuwa offline sababu ya service
ilichukua muda kurudi na baadhi ya thread kutopatikana kama mwanzo

je mnajiandaaje na changamoto hiyo in the future?

kufanya service haraka na kutopoteza kitu?
 
melo naomba nami nikutwange swali moja.
-Mumejiandaaje kukabiliana na external force na internal force. mfano viongozi kama wanaofungia magazeti, watu wanao hack mitandao.
Napenda kujua usalama wa machine yangu ninapokua jf juu ya virus. Asante sana. mia
 
Maswali yote nikiulizwa kule nitayajibu, nimeshauriwa nijibu kule ili mtiririko ueleweke. Vinginevyo naweza nikaharibu tu. Natamani kuwajibu wote, kadiri muda utakavyoruhusu.

Nadhani wanaahirisha interview hadi kesho, nitaendelea kujibu yale ambayo nitaulizwa; hadi yaishe.
 
Button yangu ya "like" leo haifanyi kazi kabisa.Welcome back Asha Dii tulikumiss sana humu.Pia namshukuru Max kwajinsi anavyoyajibu maswali kwa uhakika.Long live JF!

Jmushi nimepata salamu zako kama 13 hrs ago from Mwali... Nikafurahi sana. Nafurahi mlini miss sababu hata mimi ni vivo hivo... niliwamiss sana. Usijali wewe reserve hizo posts like utatowa tu! lol Nimefurahi kukuona.
 
Mutual feelings...Like sasa inafanya kazi.Definetly good to see you back.Ngoja nirudi sasa nikatoe like zangu...samahani niliposti kule kwenye main thread.
 
Mutual feelings...Like sasa inafanya kazi.Definetly good to see you back.Ngoja nirudi sasa nikatoe like zangu...samahani niliposti kule kwenye main thread.

Mkuu, nakutafuta.
 
Mkuu Maxence Melo sijui kama maswali yangu yalipata majibu
Ila kwanza kabisa nichukue nafasi hii kukupongeza kwa kazi nzuri unayoifanya pamoja na Mods wote wa JF
Kwa kweli wanafanya kazi kwa moyo tena kwa kujitolea bila malipo ya aina yoyote na bila kujali usumbufu wala malipo kwa kazi zao. Asanteni sana

Swali langu kubwa ni changamoto gani mnakumbana nazo katika utendaji wenu wa kila siku na changamoto hizo zinawaathiri vipi katika utendaji wenu wa kazi katika kuiendeleza JF kuwa kitovu cha habari zenye uhakika na zilizohaririwa kwa wakati. Na je lengo lenu la kuianzisha hii forum limetimia na kama halijatimia ni nini mkakati wenu katika kuhakikisha kuwa lengo hilolimefikiwa na ni vikwazo gani ambavyo mnakumbana navyo katika kuwarudisha nyuma msifikie lengo lile mlilokuwa nalo.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Mr Rocky and other members, you are not allowed to post in the interview thread. All side comments are posted in this already started thread specially for that.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Maxence Melo sijui kama maswali yangu yalipata majibu
Ila kwanza kabisa nichukue nafasi hii kukupongeza kwa kazi nzuri unayoifanya pamoja na Mods wote wa JF
Kwa kweli wanafanya kazi kwa moyo tena kwa kujitolea bila malipo ya aina yoyote na bila kujali usumbufu wala malipo kwa kazi zao. Asanteni sana

Swali langu kubwa ni changamoto gani mnakumbana nazo katika utendaji wenu wa kila siku na changamoto hizo zinawaathiri vipi katika utendaji wenu wa kazi katika kuiendeleza JF kuwa kitovu cha habari zenye uhakika na zilizohaririwa kwa wakati. Na je lengo lenu la kuianzisha hii forum limetimia na kama halijatimia ni nini mkakati wenu katika kuhakikisha kuwa lengo hilolimefikiwa na ni vikwazo gani ambavyo mnakumbana navyo katika kuwarudisha nyuma msifikie lengo lile mlilokuwa nalo.

R' mambo vipi habari yako? Naomba niseme kuwa maswali bado yapo mengi, yakisha isha ndio rahisi kujuwa kama swali lako limejibiwa ama vipi. Na kuweza kutambua kuwa limejibiwa ama lah, nashauri it is better usome tu maswali na majibu yote... naamini lazima utatoka na kitu na sio patupu.

Naomba niungane na wewe katika kuwapongeza wote wanaowezesha utumiaji na uendeshaji wa hili jamvi in a lubricative manner.
 
AshaDii salama kabisa na namshukuru Maulana kiafya na kifamilia ni kwema kabisa
Nimepitia uzi wake na nimeona baadhi ya majibu ila ni fursa mpya ya kuendelea kupata ufafanuzi kutoka kwa mhusika
Asante sana na nashukuru kwa ufafanuzi wako
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom