Zakumi
JF-Expert Member
- Sep 24, 2008
- 5,063
- 2,492
Yote atasahau lakini Juche na block two hawezi kusahau. Mwalimu Sapula hivi bado yupo?.
Kwikwikwi Juche. Yeah we invented that word.
Yote atasahau lakini Juche na block two hawezi kusahau. Mwalimu Sapula hivi bado yupo?.
Hili swala halijajibiwa mlangila Maxence Melo....Nini ulikuwa mchango wa Le Mutuz katika kuanzisha JF. je, jina lake limeshafutwa rasmi kama alivyoomba?
Majibu yanajibiwa ktk thread ipi? mbona siyaoni
mi nimepita tu ila suala la ukabila huwa linanikera sanaDoes it matter? Nadhani hili suala la kabila tunalichukulia too seriously sometimes...
The topic speaks for itself.
It is urged, not to post in the thread of the provided Link of the Interview going on till it is allowed to. All side comments or extra questions are to be posted in this thread. The main thread can be found here: https://www.jamiiforums.com/great-t...ew-with-jamiiforums-founder-maxence-melo.html
Fang.
Samahani mkuu.
Mimi nilitaka kubadili ID yangu maana nimejaribu kwa kutumia settings humu inagoma, inawezekana?
THanksMlalila samahani nakujibu kwa niaba... Huwezi badilisha ID yako mwenyewe kupitia hizo settings. Ni hadi uwasiliane na Invisible kwa kumtumia PM. Nadhani ni advisable unachagua jina kabisa then wamwambia moja kwa moja unapo muomba kuwa unataka libadilike kuwa nani.