SWALI: Je inawezekana mtu aliyetumia jina la "kificho" kujibadili na kutumia jina lake halisi hapo baadaye, iwapo atataka kufanya hivyo?
May we be informed who this member is?.......thanks
Duh! Hebu soma hiyo interview hapo mwanzo itakuja idea huyu ni nani
King'asti kwani siku imefika yakuuliza swali??au mimi sikumuelewa aliposema watu siku hiyo wawe online??au wewe ndiye ukumuelewa??On Fridaythe 17th, at 11:00 AM east African Time (Saa tano asubuhi kamili saa za Africa Mashariki) we invite Jamii Forum Founder and owner, Maxence Melo, to respond to some of these questions. The interview will be conducted by a long time JF member, whom we believe has the necessary impartiality and perspicacity to ask Maxence pertinent questions that will enlighten our lanterns.Mkuu, hujaweka swali lako. Kumbuka maswali yataangaliwa kwa uzito wake na kisha kuchaguliwa maswali kumi tu ambayo mods hawataweza kujibu kwa niaba ya maxence.
Kama una swali kuhusu madame itakuwa vyema kumfuata kwenye pm. This interview will be focused on Maxence Melo and the jf dream peke yake.
King'asti kwani siku imefika yakuuliza swali??au mimi sikumuelewa aliposema watu siku hiyo wawe online??au wewe ndiye ukumuelewa??On Fridaythe 17th, at 11:00 AM east African Time (Saa tano asubuhi kamili saa za Africa Mashariki) we invite Jamii Forum Founder and owner, Maxence Melo, to respond to some of these questions. The interview will be conducted by a long time JF member, whom we believe has the necessary impartiality and perspicacity to ask Maxence pertinent questions that will enlighten our lanterns.
We welcome all questions from members and with Maxence permission we also welcome some suggestions on how to improve on Jamii Forum presence in the Tanzanian, Kenyan and eventually East African Community Political life.
We hope to have all Jamii Forums members online that day.
King'asti nafikiri hapo utakuwa umemuelewa vizuri Roulette kila la heri!
Be Bless all JF Team, mimi swali langu si la Maxence Melo naona linaishia kwa Mods, Je, mtatumia criteria gani kuchagua ayo maswali kumi bora??