JF Focus: Interview with Maxence Melo

JF Focus: Interview with Maxence Melo

Mimi ni mgeni kabisa hapa kunako jf. Kinachonisumbua ni terminology zinazotumika humu jamvini. Utakuta mwanzo wa mada mara iandikwe 'sticky' mara 'topic' mara 'moved'. maneno haya yana tofauti gani?. Halaf hua naona humo katikati ya maelezo kuna wakati mnaandika MENTION= ikifuatiwa na namba nyingi nyingi. Mnamaanisha nini jamani?.
 
Kwanza kabisa,Mungu awabariki woote waliotoa wazo la kuwepo kwa hii forum,hakika ni darasa tosha,lakini ningependa kujua ni hatua gani zinachukuliwa na Mods kudhibiti topics ambazo hazina vyanzo vya kueleweka?
 
lini michango ya posts itathamanishwa na kupewa hadhi ya hela ili iweze kuununua u-PREMIUM MEMBER................???????????????????????????

sOMA MAP[ENDEKEZO YANGU KWENYE ILE POST YA mCKEE KUHUSIANA NA SOMO HUSIKA
 
Kuanzia lini mtaanza kuzipa thamani michango ya posts na hivyo kuweza kununua u-premium membership?
 
Asanteni sana, tunaendelea kupokea masuali toka kwa members. Hadi sasa ni suali 16 tu zilizo ulizwa (some questions were repeated) na Mkuu Maxence kasema anaweza kuongeza idadi ya suali zitakazo jibiwa kuhakikisha members wanaridhika na interview hii. Karibuni wote.

maswali mnayahakiki kwanza ndio yaonekane hapa au? Mi nimeandika yangu ila siyaoni hapa.
 
maswali mnayahakiki kwanza ndio yaonekane hapa au? Mi nimeandika yangu ila siyaoni hapa.

Maswali yatakuwa compiled pembeni. Kama la kwako hujaliona hapa, inawezekana kilikuwa na tatizo wakati wa ku-post. Kama hutojali, tafadhali liweke tena na litajumuishwa na mengine yatakayotoka jumamosi.
Karibu sana
 
Mimi ni mgeni kabisa hapa kunako jf. Kinachonisumbua ni terminology zinazotumika humu jamvini. Utakuta mwanzo wa mada mara iandikwe 'sticky' mara 'topic' mara 'moved'. maneno haya yana tofauti gani?. Halaf hua naona humo katikati ya maelezo kuna wakati mnaandika MENTION= ikifuatiwa na namba nyingi nyingi. Mnamaanisha nini jamani?.

Mkuu 'sticky' ni mjadala ambao umegandishwa katika Forum, ukiangalia kila forum ina 'sticky' katika ukurasa wake. Vigezo sielewi ila angalia hizo mada utakuta zote ni muhimu kulingana na forum husika.

Topic, ni mada yenyewe. Kama hii tuliopo hapa ni mada yenye topic inahusiana na 'JF Focus; Interview itayohusisha mmoja wa waanzilishi'

'moved' ni pale mada inapotolewa katika hilo jukwaa kupelekwa katika jukwaa lingine. Mara nyingi toka na mwenye mada hio kubandika bandiko lake katika Jukwaa ambalo halihusiani na alichobandika.

kumention Mzee wa ngano, ni moja ya njia hutumika kumjulisha member (ulie mmention) kuwa unataka aone/some uliloandika ili aweze jibu ama respond tokana na lile umeandika. Kama hapo nimeku mention ili ujuwe kuwa nimejibu baadhi ya maswali yako. Hata hivo kama unatumia simu mara nyingi kuona hii mention ni hadi uweke "Desktop" version.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu 'sticky' ni mjadala ambao umegandishwa katika Forum, ukiangalia kila forum ina 'sticky' katika ukurasa wake. Vigezo sielewi ila angalia hizo mada utakuta zote ni muhimu kulingana na forum husika.

Topic, ni mada yenyewe. Kama hii tuliopo hapa ni mada yenye topic inahusiana na 'JF Focus; Interview itayohusisha mmoja wa waanzilishi'

Ahsante sana mkuu kwa kunijuza ila hapo kwenye MENTION bado kidogo. Mfano umeandika MENTION=84383. Hizi namba zina denote kitu gani mkuu. Na kuna tena kitu nimekiona leo ambacho nilisahau kukuuliza jana, nijuze maana ya news alert.
 
Mimi nauliza je wale ambao wana vyeo kama JF Premium,JF Gold,JF Bronze wao wanakuwa wanahisa katika JF??au wanachangia tu?Je wana mrahaba wowote wanaopata kutokana na mapato ya matangazo?Mwisho wanafaidika na nini na hivi vyeo?/kwako Roulette na timu yote ya JF asanteni.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Salute,

Kuna mpango gani wa kuvihusisha vyombo vingine vya habari hasa Radio na TV kwa vipindi vya mahojiano mahususi kama vile anavyofanya ndugu yangu Yahya Mohamed pale Star TV Mwanza?

Kupitia mpango huo JF imejulikana na kuzoa umaarufu hata kwa wale wasiokuwa na access ya Internet, Juhudi hizi zinaendelezwa vipi ili kufikia hadhi ya forum kubwa za kijamii kama FB na tweeter.

Naamini siku moja JF itakuwa leading forum in Afrika.

ADIOS
 
kuna umuhimu sasa kuwaalika wanasiasa ambao ni members humu JF (Verified User) kutoka vyama vyetu vya siasa kufanya Interview humu JF kwa mpangilio wa masuali kutoka kwa members wa JF.JF Daima
Kwa mara ya kwanza nakubaliana na wewe 100 kwa 100 kama magamba wenzako wanavokariri.
 
Roulette,
Kwanza nawapa pongezi za dhati Maxence Melo, Mike McKee, Invisible, na Mods wote wa JF pamoja na members wote wa JF kwa kuifikisha hapa JF na inaendelea kukuwa kasi.

Roulette, kuna umuhimu sasa kuwaalika wanasiasa ambao ni members humu JF (Verified User) kutoka vyama vyetu vya siasa kufanya Interview humu JF kwa mpangilio wa masuali kutoka kwa members wa JF.

JF Daima

Tangu umejiunga na JF for the first time umechangia kitu useful,Nimegundua kumbe ni maelekezo ya Nape ndo huwa yanakufanya uchangie ndivyo sivyo.Big up kwa mara ya kwanza leo nakugongea like.Unapatikana wapi nikununulie futari?
NAUNGA MKONO HOJA
 
Mimi ni mgeni kabisa hapa kunako jf. Kinachonisumbua ni terminology zinazotumika humu jamvini. Utakuta mwanzo wa mada mara iandikwe 'sticky' mara 'topic' mara 'moved'. maneno haya yana tofauti gani?. Halaf hua naona humo katikati ya maelezo kuna wakati mnaandika MENTION= ikifuatiwa na namba nyingi nyingi. Mnamaanisha nini jamani?.

Mkuu, if you don't mind, ningekushahuri uanzishe thread jukwaa la complains, congrats and advice, utapata majibu. Ningekupa hata hapa ila kidogo naona kama tutakua off topic. In the mean time soma thread ya mkuu Invisible inayo sema: how to use JF effectively
 
Mnalionaje suala la kutengeneza JF Developers API? Hili litaongeza kasi ya ukuwaji wa JF. Angalieni twitter na facebook,kuna applications nyingi sana kuanzia computer simu hadi tablet! Pia pengine wengine wangependa ku iclude JF kwenye media zao mfano blogs n.k
 
mkuu Maxence Mero,ningependa fahamu ,Je ,idea ya kuunda jf imetoka ktk mtandao wa stormfront-white nationalist movement wa europe au its ur own innovation?
 
Kwa sababu zilizo nje na uwezo wake, Maxence Melo kaomba interview isogezwe saa sita kamili. Asanteni kwa uelewa.
 
Sijayaona maswali, ila nauliza wakati ananzisha huu mtandao focus yake ilikuwa ni nini. Na je amefikia malengo yake tarajiwa? Anajisikiaje kwa Hali ilivyo hivi sasa?
 
Back
Top Bottom