FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,379
Mwenyezi mungu awatangulie katika sherehe hii njema ..
Mialiko tushapata pia karibuni kwangu Pilau supu kasoro wale wanaopeleka maji ya TBL kinywaji chenu hakitakuwepo ,soda na juice kwa wingi
Unyanyapaaa huo sasa...........

nitumie basi na nauli mama nije kula supu ya samaki
Mama nakutumia kwa NMB mobile karibu sana Pearl .,
sawa dia wangu ntakuja soon nitumie na size kabisa ya yule sista duh wangu(u knw wat I mean)nisijeimbiwa mama huyoooo katoka shambani na mkungu wa ndizi alafu siza hata jojo lol
Hivi uko wapi wewe ndio nini kupotea kiasi hicho hayo mambo mimi siwezi kama ndio hivyo au unataka tukuwekee NOVENA na wewe
ai weweeeeeeeeeee,yamekuwa hayo tena?mie nipo bana,niliolewa na mpemba markiti akawa anaenda mwenyewe thats y ukawa hunioni gengeni kwako,lkn kanipa talaka tatu usijali sasa tutaonana sana tu au wasemaje?
sawa dia wangu ntakuja soon nitumie na size kabisa ya yule sista duh wangu(u knw wat I mean)nisijeimbiwa mama huyoooo katoka shambani na mkungu wa ndizi alafu siza hata jojo lol
Unyanyapaaa huo sasa...........
EID MUBARAKA to you too mama mkwe
Unyanyapaaa huo sasa...........
:doh::doh::doh: Umeishaharibu sasa mimi bana wapemba nawaogopa banaa, kesho njoo basi niko free