JF Exclusive: Wawindaji tuliowauzia wanyama na ardhi yetu tukichekelea!

Acheni wivu nyie wapuuzi, matusi kibao bila mpango, hao wameingia kihalali na wamewinda kihalali, nyie mnakwenda Dubai kununua vikopo vyenu wao wanakuja TZ kula nyama pori hivyo ndio Dunia inavyokwenda. Sio lazima kila anaekuja TZ awekeze.

Leteni picha ya jamaa ameua Tembo au Twiga ndio tujadili lasivyo hakuna mada hapa. Mimi naona hiyo Lexus ndio imewatoa roho, si unajua tena wabongo tukiona mtu mwenye kizuri lazima tumyee.

Kwa ajili yako tu labda utaweza kuchangia sasa:

tanzania_hunting_05.jpg

tanzania_hunting_04.jpg

Mbona hawa jamaa hawajavaa vilemba, leta picha ya hao jamaa wa Dubai wakiangusha tembo au simba. Hilo ndio swali langu

My Take:

Wawe wameangusha hawaja angusha mnyama fulani ilimradi wamewinda wanyama wetu wote lao ni mmoja wanatuhujumu kwa mali zetu. Hebu jiulizeni leo Hizi mbuga zingekuwa huko nchini kwao Sisi ngozi Nyeusi tunge thubutu kwenda kulaghai nchi zao kama wao wanavyo jitawala hapa kwetu??

Upuuzi tunao ufanya sisi nchini kwao hatuwezi kuufanya iweje wao wajipe raha tuuuuuu????

Nchi za wenzetu ukimnyanysa Mnyama yeyote tuu ni issue kuwinda kibari kwao hutoka bila kona kona huku kwetu ni kona kona nyingi sasa huwa sielewi hizo nazo huwani muhuri mwekundu ati Confidential Document ????

Invisible na wakuu wengine, salaams.

It might be important to elaborate what exactly is happening with legal hunting in Tanzania.

The guys on the pictures have hunting blocks. How they got the blocks I don't know. But their block is legal just like other hunting blocks owned by many Tanzanians.

Hunting is one of utalii mkubwa sana nchini kwetu and very controlled. (What happened to Qatar illegal abduction and exportation of our animals should not tarnish the legal hunting tourism industry).

These hunting blocks are outside the national parks. It is illegal to hunt within the National Parks boundaries.

Additionally, if you understand the animal kingdom, especially Swala, Simba and the sorts, they have Harlems. Meaning, in a group of 20 females or so, there would be one male who dominates them and breeds with them until the stronger guy comes and over throw him. Therefore, only male animals are allowed to be hunted (because the other 19 males are just there with other males, wangekuwa humans labda wangekuwa gay or something :) they are not able to reproduce with other males na kazi iloyobakia ni kukimbiza na kula pundamilia. It is illegal to hunt a female animal hata ikiwa nje ya national parks. This helps controlling the population.

Last but not least, each block is assigned how many animals they can hunt in a season. It is not a free spree of unlimited hunting.

By the way, mie sio mwindaji wala sipendi hunting.

But kama mnataka watu wasiwinde, itabidi hunting iwe declared illegal. Then jamaa wataenda Mozambique na Botswana. Huko pia wana ruhusu legal hunting.

huu uroho wa fedha na ubinafsi wa tanzania wenzetu utatumaliza jamani kizazi kijacho kitatuhukumu vibaya baada ya nchi yetu kubaki magofu tu ya madini na mbuga za wanyama please our leaders its time to change

hawa waarabu magaidi watu wa kujilipua hawana maana wamelaaniwa hawa sijui wanakuja kutafuta nini hapa kwetu zaidi ya kuleta majini ya kufuga na kufundisha au kutafuta network za kigaidi tu hapa...ndio maana wamarekani wanawa....nyuma.....masifuri wanaojifanya wana hela kumbe kichwani mambumbumbu hawana hata akili zote zimechukuliwa na mashetani.....hii si mbuga ya loliondo ambayo Mwinyi ndo aliuza au ni ingine, na hilo sakata la msekwa ndo likoje jamani mtusaidie...

Mbona hawa jamaa hawajavaa vilemba, leta picha ya hao jamaa wa Dubai wakiangusha tembo au simba. Hilo ndio swali langu
hao jamaa wenye vilemba wamekulamba wapi hadi unajitongozesha na kuwatetea kiasi hicho mzee, hebu tuambie wamekupa nini hadi uwe addicted nao kiasi hicho? shame on you unayejali tu vilemba, udini umekujaa, hapa hatuongelei vilemba tu mzee.

Mama weee!, haya ndio matunda ya miche aliyopanda mzee Mwinyi. 1995 mlipoambiwa mwinyi ameuza ngorongoro mliona Mrema mzushi!, huu ni mwendelezo tu. Kupambana na mafisadi na wahujumu uchumi tuanze na Mwinyi

U know what!the govt is too weak to handle these guys.Bora tuunde vikundi vya wanavjiji ili tuwafanyie ambush na kuwawinda mpaka kuwaua kama wanavyofanya kwa wanyama wetu.​

Invisible na wakuu wengine, salaams.

It might be important to elaborate what exactly is happening with legal hunting in Tanzania.

The guys on the pictures have hunting blocks. How they got the blocks I don't know. But their block is legal just like other hunting blocks owned by many Tanzanians.

Hunting is one of utalii mkubwa sana nchini kwetu and very controlled. (What happened to Qatar illegal abduction and exportation of our animals should not tarnish the legal hunting tourism industry).

These hunting blocks are outside the national parks. It is illegal to hunt within the National Parks boundaries.

Additionally, if you understand the animal kingdom, especially Swala, Simba and the sorts, they have Harlems. Meaning, in a group of 20 females or so, there would be one male who dominates them and breeds with them until the stronger guy comes and over throw him. Therefore, only male animals are allowed to be hunted (because the other 19 males are just there with other males, wangekuwa humans labda wangekuwa gay or something :) they are not able to reproduce with other males na kazi iloyobakia ni kukimbiza na kula pundamilia. It is illegal to hunt a female animal hata ikiwa nje ya national parks. This helps controlling the population.

Last but not least, each block is assigned how many animals they can hunt in a season. It is not a free spree of unlimited hunting.

By the way, mie sio mwindaji wala sipendi hunting.

But kama mnataka watu wasiwinde, itabidi hunting iwe declared illegal. Then jamaa wataenda Mozambique na Botswana. Huko pia wana ruhusu legal hunting.

Who verifies the animals killed?, the number and sex?, hapo kwenye bold, hilo ndio la muhimu. huko serengeti ukiua hata mnyama aliekukuta nyumbani kwako ni illegal, iweje hao waarabu? kwa kifupi wananchi hawafaidiki nao so, bora waondoke waache wanyama wale wanyama wenzao

Mbona hawa jamaa hawajavaa vilemba, leta picha ya hao jamaa wa Dubai wakiangusha tembo au simba. Hilo ndio swali langu

wewe utakuwa mke wa mwaraabu umeomba picha umewekewa sasa unataka nini zaidi? kuwa mzalendo bana Taarifa ziko wazi kuna ndege ya jeshi ilitua KIA na kukusanya wanyama wakiwemo TWIGA ambao ni nembo ya TAIFA sasa watu wakae muda wote kutafuta jinsi kuku comfort wewe
sasa kama sio kweli na ni wivu kama unavyodai wewe ina maana WAZIRI MAIGE naye ana wivu (kwa kumsimamisha kazi mkurugenzi wa uwindaji) na hao jamaa? kama ana wivu si angewanyima vibari?

Who verifies the animals killed?, the number and sex?, hapo kwenye bold, hilo ndio la muhimu. huko serengeti ukiua hata mnyama aliekukuta nyumbani kwako ni illegal, iweje hao waarabu? kwa kifupi wananchi hawafaidiki nao so, bora waondoke waache wanyama wale wanyama wenzao

Tutafika,

The hunting is very regulated. The professional hunter guide can tell the sex of an animal.
And you are correct, you cannot kill an animal in Serengeti or within any TANAPA or Ngorongoro parks. You can only do it in assigned hunting blocks.
Loliondo appears to be the most known due to media attention, but kuna zingine zipo Maswa in Shinyanga, Tabora, Malagalasi in Kigoma, etc.
Zakhia Meghji aligawa nyingi sana wakati ni waziri wa utalii na maliasili.

wewe utakuwa mke wa mwaraabu umeomba picha umewekewa sasa unataka nini zaidi? kuwa mzalendo bana Taarifa ziko wazi kuna ndege ya jeshi ilitua KIA na kukusanya wanyama wakiwemo TWIGA ambao ni nembo ya TAIFA sasa watu wakae muda wote kutafuta jinsi kuku comfort wewe
sasa kama sio kweli na ni wivu kama unavyodai wewe ina maana WAZIRI MAIGE naye ana wivu (kwa kumsimamisha kazi mkurugenzi wa uwindaji) na hao jamaa? kama ana wivu si angewanyima vibari?
Ndio mtabaki hivyo hivyo,huna la kujibu basi unarusha lugha za kishoga. nyie wote ni njaa zinawasumbua,kila mwenye hela lazima mtamuona mbaya. mimi siwatetei hao jamaa bali nasema kuwa wawindaji ni wengi tu hapa TZ, au hujui kama kuna wazawa wengi tu siku hizi kuwinda imekuwa ndio hobby yao?

hao jamaa wenye vilemba wamekulamba wapi hadi unajitongozesha na kuwatetea kiasi hicho mzee, hebu tuambie wamekupa nini hadi uwe addicted nao kiasi hicho? shame on you unayejali tu vilemba, udini umekujaa, hapa hatuongelei vilemba tu mzee.
haya sasa na wewe ndio huna tofauti na hao wanyama wanao windwa.Akili maji.Ni nyie wapuuzi ndio mnaoingiza udini hapa, wameuziwa block,wanalipia wanyama,wanaleta maendeleo huko vijijini. wewe umewahi hata kutoa mchango katika maisha yako? Kazi kujaza vyoo tu na kulalamika.

Back
Top Bottom