JF EXCLUSIVE: THE DEATH of VINEGA

Kachanchabuseta

JF-Expert Member
Mar 8, 2010
7,270
675
Ijumaa hii ni fiesta mbeya

Sio kawaida kwa mbeya fiesta kuja kirahisi hivi sugu alikuwa msatali wa mbele kutetea wasanii
wachanga na wale wanaochipukia lakini cha kushangaza sasa hivi baada ya sugu kusign ule mkataba
na Ruge amekuwa kimya sana( wewe jiulize kwanini sugu jimbo lake anatengenezewa barabara?)

Kwanini sugu amekuwa kimya na wasanii ambao wamesupportiana kawatosa?

Kwenye mzunguko wa Fiesta kuna wasanii wa VINEGA?

Tafakari..................................................:eek2::director::director::director:

Fiesta 2011 Sugu alikuwu na msimamo huu
Mbunge wa Mbeya Mr. II amepiga marufuku matamasha yote ya FIESTA mkoani mbeya kwa madai kuwa yanaua vipaji vya wasanii. Source status yake ya FB.

vinega%2B333.jpg

ruge.jpg
 
Chezea Ruge weye
Chezea Clouds weye

kimsingi sugu alikuwa na madai yake binafsi na clouds na alitumia mgongo wa vinega na wasanii wachanga kuishambulia clouds.
Sasa clouds wametuliza kapata alicho hitaji hawa wengine sijui vinega kachinji baharini huko.......................pesa ilimsaliti yesu bana itakuwa vinega
 
Tatizo sio Sugu,wasanii wetu hawajajitambua.subirini tamati ya msanii Diamond ambayo najua haipo mbali ndio mtajua nini nazungumza.Asilimia 99% ya wasanii wetu wanaona hatua moja tu mbele! Mafanikio ya haraka haraka yanawapumbaza.

Tunataka kuzungumzia Sugu na Vinega kwa mlango wa kisiasa lakini si mjadala wa kusaidia mawazo wasanii wetu wasiojielewa!
 
Mkuu maisha ya kibongo hayana consistance kwa wote si wanamuziki tu, so Diomond kuja kufulia ndio maisha yetu ya kibongo na si wanamuziki tu, wapo wanasiasa,wafanyabiashara,wafanyakazi nk walikua nazo tena na elimu zao lakini leo tunapigana vikumbo kwenye madaladala na mama ntilie

Hapa swala ni Sugu kawatosa wenzake FULL STOP, hayo ya siasa yawepo au yasiwepo lakini yeye ndio alikua kinara wa kupambana na Clouds kupitia vinega, kaenda kushake hand na adui na akapewa alichodhulumiwa kawatosa wenzake. Hana msimamo kwa wasanii wenzake
 
Kwani kuna mtu kaweka siasa hapa?
 
Kwani kuna mtu kaweka siasa hapa?

[h=2]
icon1.png
JF EXCLUSIVE: THE DEATH of VINEGA[/h] Ijumaa hii ni fiesta mbeya

Sio kawaida kwa mbeya fiesta kuja kirahisi hivi sugu alikuwa msatali wa mbele kutetea wasanii
wachanga na wale wanaochipukia lakini cha kushangaza sasa hivi baada ya sugu kusign ule mkataba
na Ruge amekuwa kimya sana( wewe jiulize kwanini sugu jimbo lake anatengenezewa barabara?)

Kwanini sugu amekuwa kimya na wasanii ambao wamesupportiana kawatosa?

Kwenye mzunguko wa Fiesta kuna wasanii wa VINEGA?

Tafakari...................... .....................
 
Vinega hawakutaka kufuata ushauri wa thamani kubwa tuliowapa bila malipo. Wakashirikiana kututukana na kutudharau. Asilimia 33 ya gross income yao wametoa msaada jimboni kwa Sugu. Sugu anawatumia kisiasa...
 
ujui kinachoendelea kuhusu vinega,kaa kimya usije onekana pimbi mbele za watu.
 
Mkuu maisha ya kibongo hayana consistance kwa wote si wanamuziki tu, so Diomond kuja kufulia ndio maisha yetu ya kibongo na si wanamuziki tu, wapo wanasiasa,wafanyabiashara,wafanyakazi nk walikua nazo tena na elimu zao lakini leo tunapigana vikumbo kwenye madaladala na mama ntilie

Hapa swala ni Sugu kawatosa wenzake FULL STOP, hayo ya siasa yawepo au yasiwepo lakini yeye ndio alikua kinara wa kupambana na Clouds kupitia vinega, kaenda kushake hand na adui na akapewa alichodhulumiwa kawatosa wenzake. Hana msimamo kwa wasanii wenzake

ujui kinachoendelea kuhusu vinega unapandikiza majungu,kaa kimya kabla ujajichoresha mbele ya wajanja..kama Sugu kawatosa vinega just wait n see,time wil tell...mda c mrefu tutaelewa kila kitu.
 
Nchi zima barabara zinatengenezwa.
Then sugu alisema kati ya makusudio makuu ya mapambano dhidi yake yakiwemo studio ya wasanii kutolewa mikononi mwa ruge, kuvunjwa kwa taasisi hewa ya uwakilishi yalifanikiwa, je mlitaka amuue ruge ndo muone kuwa harakati zimefanikiwa??

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Sawa, wewe unayejua tuambie basi * whats up with kukataa fiesta?

we naona upo kisiasa zaidi,mara mambo ya kusaidia chakula jimboni mara cjui nn!!

Mchezo wa sanaa unavyobadilishwa na manufaa yake tuachie wakali wa aya mambo..Politiki zako peleka jukwaa la siasa kuna sredi yake kule kamchane.
 
Hahahahaaa... Hivi bado wapo hao Vinega? Wanafanya shughuli gani?
Mambo ya kufuata mkumbo ndio yanavyoisha hivyo, wala hakuna cha ajabu hapo!
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom