Fiesta marufuku Mbeya- Sugu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Fiesta marufuku Mbeya- Sugu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Sharp lady, Jun 19, 2011.

 1. S

  Sharp lady Senior Member

  #1
  Jun 19, 2011
  Joined: Feb 23, 2011
  Messages: 129
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mbunge wa Mbeya Mr. II amepiga marufuku matamasha yote ya FIESTA mkoani mbeya kwa madai kuwa yanaua vipaji vya wasanii. Source status yake ya FB.
   
 2. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #2
  Jun 19, 2011
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,422
  Likes Received: 677
  Trophy Points: 280
  Roho inamuuma hajapewa shavu.
   
 3. Chitemo

  Chitemo JF-Expert Member

  #3
  Jun 19, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 1,290
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  mwongo wewe!!!
   
 4. S

  Sharp lady Senior Member

  #4
  Jun 19, 2011
  Joined: Feb 23, 2011
  Messages: 129
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  huo ni ukweli mtupu kama hutaki kuamini kaa hvyohvyo.
   
 5. s

  shosti JF-Expert Member

  #5
  Jun 19, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,957
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  mhh chuki binafsi hana lolote
   
 6. I

  Ismaily JF-Expert Member

  #6
  Jun 19, 2011
  Joined: Jun 19, 2011
  Messages: 357
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Chuki za wapi binafsi? mwenzako ni mbunge,bado pesa anayo tangia anatoka marekani kuja kugombea ubunge,nadhani hujui hawa watu wa FIESTA wanavyowanyonya wasanii wakati wao wanaingiza mamilioni,kama wanawapenda wawafungulie mikoa yote studio kama alivyofungua studio SUGU hapa mbeya kwa ajiri ya wasanii
   
 7. Butola

  Butola JF-Expert Member

  #7
  Jun 19, 2011
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 2,140
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Sugu ni kiazi....,mpaka leo bado hajatambua kuwa amepelekwa bungeni na wananchi wa Mbeya na sio wasanii wenzake..., hili ni jimbo ambalo CDM italipoteza 2015 kwa upumbavu tu wa Sugu...

  Kabla hajatekelea ahadi yake ya kulipiga mnada wa hadhara gari la Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, kabla hajatimiza wazo lake la kuuuza Mgodi wa Kiwira na fedha zitakazopatikana kuwagawia masela wanywee pombe, kesho na keshokutwa sintashangaa atakapotangaza kuudondosha mnara wa kurushia matangazo ya Clouds FM mjini Mbeya, huyu mtu ni janga...!!
   
 8. francismaka

  francismaka Member

  #8
  Jun 19, 2011
  Joined: Aug 27, 2010
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sijaelewa..
   
 9. Innobwoy

  Innobwoy JF-Expert Member

  #9
  Jun 19, 2011
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 898
  Likes Received: 109
  Trophy Points: 60
  The antivirus in operation,,
   
 10. Oxlade-Chamberlain

  Oxlade-Chamberlain JF-Expert Member

  #10
  Jun 19, 2011
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 7,919
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Duuuh lile beef ndio limefikia hatua hii ... simchezo.
   
 11. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #11
  Jun 19, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 28,119
  Likes Received: 3,967
  Trophy Points: 280
  Kwani yeye ndo nani, au kaanza kuchanganyikiwa mapema.
   
 12. yutong

  yutong JF-Expert Member

  #12
  Jun 19, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 1,607
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  fiesta ndo nini kwanza? si kudumisha ufuska tu mi namuunga mkono sugu
   
 13. Bollo Yang

  Bollo Yang JF-Expert Member

  #13
  Jun 19, 2011
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 440
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Ameanza kudata huyu
   
 14. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #14
  Jun 19, 2011
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,422
  Likes Received: 677
  Trophy Points: 280
  Tatizo hamjamuelewa yeye ni waziri kivuli wa utamaduni inawezekana na hii ni marufuku kivuli.
   
 15. papaa masikini

  papaa masikini Senior Member

  #15
  Jun 19, 2011
  Joined: Mar 5, 2011
  Messages: 163
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Ahsante sana waziri wa michezo na utamaduni!!
  Ant-virus...
   
 16. tatizomuda

  tatizomuda Member

  #16
  Jun 20, 2011
  Joined: May 5, 2011
  Messages: 49
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  mWENYE C V KAMILI YA SUGU PLEASE NDIPO TUENDELEE KUJADILI HAYO MENGINE
   
 17. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #17
  Jun 20, 2011
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,437
  Likes Received: 678
  Trophy Points: 280
  Asipokuwa makini atapoteza hicho kiti 2015. Chadema watafute mtu mwingine 2015.
   
 18. i411

  i411 JF-Expert Member

  #18
  Jun 20, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 795
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  msanii kapewa ubunge matokeo ni usanii 100%
   
 19. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #19
  Jun 20, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,838
  Likes Received: 110
  Trophy Points: 145
  he is dead wrong kwa ku-deny community freedom to happiness, i hope the event go on..
   
 20. Kiranja Mkuu

  Kiranja Mkuu JF-Expert Member

  #20
  Jun 20, 2011
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 2,100
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Kwani Fiesta inaibua vipaji mikoani? Ni kweli kwamba fiesta haithamini wasanii wa mikoani ndio maana inazunguka na wasanii wake.
   
Loading...