"Off the cuff" umejuaje? Umejuaje kwamba hotuba ya Nyerere aliitoa "off the cuff"? Ndo maana nakwambia unajivisha mamlaka ya usemaji wa ofisi ya Marehemu Mwalimu Nyerere. Umejuaje Nyerere alibwabwaja tu "off the cuff"?
Aidha, wanaotoa hati ya hotuba rasmi sio walioisikia uwanjani au kwenye radio kama wewe na mimi. Bali ofisi ya mtoa hotuba, tena mara nyingi kabla ya tukio. Wewe unajivika kilemba ukoka kama mamlaka ya nyaraka za rais mstaafu.
Kizazi kipya unachosema unakiandikia historia watakaposoma hayo yako na wakute rekodi za wengine zikionyesha kuwa Mwanakijiji hakuwa mamlaka ya alichoandika na kukisema Julius Nyerere kwa sababu anaongeza chumvi zake.

Mwanakijiji yasikukatishe tamaa haya..natamani sana kupata hotuba zaidi za Mwalimu...najua nyingi zinawakera wana CCM wa sasa zinawakosoa na kuwaumbua mno. Mwalimu Tutakukumbuka Daima.
Tuambie tukusaidie hiyo sehemu yenyewe unayotaka kuiweka iko kwenye part no. ngapi maana video ina part 1-10.Nimejaribu kuweka Video imeshindika lakini Nyere anasema katika Hotuba yake na waandishi wa habari 1995 kuwa tunahitaji viongozi wanaoongoka kwa utawala wa sheria na Katiba so hakuna sababu ya watu kutamba that they are unpredictable in 21st Century.
Hiki kichwa kilikuwa balaa!