JF Exclusive: CAG Report on IPTL/Tegeta Escrow Account

JF Exclusive: CAG Report on IPTL/Tegeta Escrow Account

Tuna kazi sana kama Taifa. Umesoma nilichofafanua kwny posts zangu za awali?

ndio nimesoma mkuu.. kwa lugha nyepesi ninachojaribu kusema ni kwamba hizo page ulizoweka kama ndio zilikuwa zimenyofolewa na kwa maelezo yaliyomo sioni madhara yake hata zikifafanuliwa vipi. zaidi zaidi zinawalinda hao bad guys. sasa kama hizo ndo nondo zenyewe mpaka zimenyofolewa sidhani kama zilizobaki zitakuwa na madhara.. hili ni bao la kisigino tayari...
 
JF, (where we dare to talk openly) and get the escrow report openly. hahaaa! Shikamoo JF !

Nane na dk 23 hii bado sijalala, nipo subscribed kwenye hii post, nikisikia "ngwenjee" naingia nicheki nani katupia, hata kama nikisinzia kidogo kamlio kataniamsha tu. Maana sitaki kupitwa pale Invisible atakapotupia mzigo wote!

Mungu ibariki Tanzania na raia wake wema bali wezi, mafisadi na 'majambazi' wa fedha za wananchi wakafie gizani. sina huruma nao hata kidogo kama vile ambavyo wao wamekosa huruma juu ya fedha zetu! alaah!
 
Shukrani ndugu Invisible. You have a very wise outlook on the matter. Watu tutulie, huu ndio mwisho wao.
 
wewe mama flaniii...tafadhali niongeze gahawa pls my my wife! pia nibadillishie aya maji niliyotia miguu ndani ya beseni naona kama yamepata moto.
leo hapa hakuna kulala mke wangu
 
ndio nimesoma mkuu.. kwa lugha nyepesi ninachojaribu kusema ni kwamba hizo page ulizoweka kama ndio zilikuwa zimenyofolewa na kwa maelezo yaliyomo sioni madhara yake hata zikifafanuliwa vipi. zaidi zaidi zinawalinda hao bad guys. sasa kama hizo ndo nondo zenyewe mpaka zimenyofolewa sidhani kama zilizobaki zitakuwa na madhara.. hili ni bao la kisigino tayari...

Soma vizuri ikibidi urudie huku umetuliza akili kuanzia hapo kwenye tahadhari ya TANESCO.... makubaliano Kati ya IPTL na TANESCO juu ya kiasi gani kilipwe halafu tafuta kiasi kilicholipwa baada ya makubaliano hayo then tafuta Kama kodi halali ililipwa.....

Inahitaji fikra ya juu kuelewa kilichomo humo Kama ndo mwenzangu na mie Wa nyimbo za kitorondo utaambulia patupu.....

Usione watu wazima wapo busy mpaka wanakosa usingizi ukadhani ni mambo mepesi....
 
Invisible Shukran sana Mkuu... 8 years down the road umekuwa ukiwafanyia close monitoring hawa jamaa! Wanapolala wewe siku nyingi ulishaamka! Absolutely amazing, stunning the way unavyo wabamba ... Mungu akulinde ww na washirika wako kwenye Covert Surveillance Operandi... Hakika wenye kuwadhulumu watanzania wanadhalilika sasa wao na vizazi vyao...
 
leo hataki mchezo maneno ya kakobe lazima yatimie

Ha ha ha siku moja nilimtania waziri Fulani aliyeanguka kuwa unayakumbuka maneno alokuambia. Kakobe juu ya ule mgogoro wenu pale kanisani??? alichonijibu..........

yule baba namheshimu Sana.
 
ndio nimesoma mkuu.. kwa lugha nyepesi ninachojaribu kusema ni kwamba hizo page ulizoweka kama ndio zilikuwa zimenyofolewa na kwa maelezo yaliyomo sioni madhara yake hata zikifafanuliwa vipi. zaidi zaidi zinawalinda hao bad guys. sasa kama hizo ndo nondo zenyewe mpaka zimenyofolewa sidhani kama zilizobaki zitakuwa na madhara.. hili ni bao la kisigino tayari...
Mdugu yangu, @Invisible anatuma ujumbe kwa wahusika kuwamzigo mzima upo kama ulivyotengenezwa. Sarakasi za mitaani hazitafanikiwa,wakiingia theatre mzigo uletwe kama ulivyo.

Waenyewe wanasemani prelude, kama hawakubali CD nzima itawekwa hadharani muda muafaka.
 
Ha ha ha siku moja nilimtania waziri Fulani aliyeanguka kuwa unayakumbuka maneno alokuambia. Kakobe juu ya ule mgogoro wenu pale kanisani??? alichonijibu..........

yule baba namheshimu Sana.

kakobe noma, hii ishu ya escrow siyo mchezo "the big brother is watching you"
 
Back
Top Bottom