JF Exclusive: CAG Report on IPTL/Tegeta Escrow Account


juve2012 Very good analysis. Jf ni hazina!
 
Last edited by a moderator:
Inasemekanika kuna kurasa zaidi ya hizo na ndizo zilizo na nani kamegewa kiasi gani kutoka kwa nani...

Sasa wewe unashangaa wakati kamati yote PAC wanayo hiyo ripoti, zipo, lakini hazina mshiko ndiyo maana huzioni humu.
 
Wakuu hivi katika taratibu za serikali ni spending authorization ya kuanzia sh. ngapi inahitaji waziri mkuu au raisi ahusishwe? Na je wana-authorize kwa signature ya mkono au digital. Au kwa mdomo? Ikumbukwe kuwa ni ktk makampuni utaratibu upo namna hiyo, kwamba kuna kiwango kikifika lazima CEO ahusishwe na asign. hili huwa halidhaniwi, halihisiwi ni utaratibu na lazima ufuatwe.

Ukisoma hii paragraph:



Ni kama vile wahusika wanarespond kwa hisia na si kanuni.

Nauliza haya maana naona tunarudi kule kule 2006 - 2008, JK ataibuka na kuonekana yeye ndiye mwenye busara and a big brother in the room.
 
Ikulu imo,kwa maana kuwa iwe malipo ni halali na hakuna tatizo au lipo tatizo, Ikulu imeonekana katika taarifa ikishauri malipo yafanywe.

Kuna kifungu kinasema,waziri wa fedha apewe fursa kuijulisha ofisi ya waziri mkuu na rais kama malipohayo yanafaa kuidhinishwa.


Kwamba rais yupo moja kwa moja, hilo ni swali, lakinilazima tujiulize, katibu wa rais anapotoa maelekezo, je anafanya hivyo kwamaelekezo ya nani.

Kumbuka katibu wa rais hana mtu mwingine katikati baina yakena rais, na ndio maana anaitwa katibu wa rais.


Sasa sijui kwamba katibu wa rais anawajibika kwa katibu mkuu kiongozi au anawajibika kwa nani.
Hilo ndilo swali weledi watujuze.Tunachojua katibu wa Rais kahusika


Pili, mkuu wa wilaya anawajibika kwa waziri mkuu na mkuu wa mkoa.
Makosa yake yanapitia kwa wakuu wengine kabla ya kufikia Ikulu, nakutoa nafasi ya Ikulu kuwa mbali na makosa yake


Kwa document zilizopo mezani, aliyesaini maidhinisho nikatibu wa Rais. Sasa sijui anawajibika kwa nani.
Sina uhakika. Labda utusaidiekatibu wa rais anaweza kufanya maamuzi bila kumshirikisha bosi wake? Hilosijui.


 
Una hoja nzito! nimeziona
 
Mpiganaji, hongera sana mkuu na Mungu akulinde dhidi ya haya majamabzi kwani yanahaha hata kutoa roho za watu yapo tayari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…