Mtoto wa Mkulima kajikuta anatetea uovu na sasa amewekwa katika kichinjio ili awe mbuzi wa kafara.
Ukisoma unaona wazi kulikuwa na mawasiliano ya karibu kati ya wizara na Ikulu.
Ikulu ikasema malipo yafanywe. Kumbukeni kuwa hii ni baadaya kashfa ya Richmond ambayo akina IPTL walitajwa sana, hivyo Ikulu ilitakiwa ijiridhishe kama deal ni nzuri.
Pili, mradi mkubwa kama huo unajadiliwa ndani ya baraza la mawaziri, mwenyekiti wa baraza ndiyo mkuu wa Ikulu.
Tatu, malipo makubwa kama hayo hufanyika kwa Ikulu kuridhia,leo imeridhia walipwe kama alivyoshauri Werema
Nne,Rais aliwahi kuwa waziri wa Nishati. Masuala ya IPTLanayafahamu vema.
Pia aliwahi kuwa waziri wa fedha, masuala ya fedha anayafahamu vema ikiwemo utaratibu wa BOT.
Leo tukiambiwa ni akina Pinda, aaaa! Ikulu imehusika
Tusichokijua ni namna singa singa alivyoingia Ikulu,tunachojua ni kuwa kaingia Ikulu, kaishirikisha katika escrow.
Ikulu inahusika!Sasa tunajua Ikulu na Escrow ni pacha,
Hata wakipelekwa India Apollo hawatenganishwi. Wameungana moyo. Ikulu na Escrow ni dugu moja. Tunajua Ikulu imo
Baada ya mpini kukuingia unajitoa ufahamu.bank ya kanisa ndio bank ya Lumumba?
Unajua kuwa mwenyekiti wa chama chako kachukua fedha ndiyo maanq haji bungeni.
Kulingana na uandikaje wake amesema hizo ndio karatasi zilizotolewa, sasa lakujiuliza ni kitu kipo cha kutisha ktk hizo karatasi alizotuwekea hapo? Ama ni sample?
Unaijuwa PAP? huko ndiko majina ya familia ya Mkulu yapo.
Tuliza bori wengine tumeshajitolea kufikiri kwa niaba ya wengine.
Wewe tulizana hii pesa wamekula wengi hao wanasiasa unaowaamini ukisikia wamevuta pesa sijui utaanguka kwa presha.M/kiti gani huyo unayemzungumzia wewe? Kikwete?
.Sijui kwanini bado Kikwete ni Mkuu wa nchi,sijui kwanini Ofisi ya waziri Mkuu ipo,Sijui kwanini serikali bado ipo madarakani,sijui kwanini kitengo cha Usalama wa Taifa Kipo,Sijui nani ameloga Watanzania na Taifa kwa ujumla! Kwa hali ya mambo ilivyo sasa nadhani ni wakati sasa wa serikali kukasimisha madaraka kisheria kisha watendaji wote wawaombe radhi wananchi,kisha waburuzwe mahakamani na baada ya kesi zao kuisha wafilisiwe mali zao kasha tukiona inafaa tuwatenge kabisa ama watafutiwe pori waishi huko.
Baada ya mpini kukuingia unajitoa ufahamu.
CCM mnaiponda hapa wakati ndiyo chama lenu lakupigia pesa angalia orodha yote wamejaa Wakirsto watupu pamoja na Benki yenu Mkombozi Benki.
Usilete ushabiki mandazi.
Bangi bangi bangi na viroba.
.
.
Ikulu yetu imeshushwa dhamani mno kiasi kwamba hata msanii Kingwendu anajiona anaweza kuwa rais wa Tanzania.
Nakumbuka maneno ya Lowasa kuwa aliwajibika kwa kujiuzulu kuokoa wakubwa. Sasa jiulize kama yeye alikuwa PM ni nani aliyekuwa mkubwa wake ila makamu wa rais n rais mwenyewe?
hapa itakuonyesha bila shaka kuwa ikulu ilihusika a wizi wa Epa. Ukizingatia hata raia aliwahi kutoa kauli kwamba pesa Zile zilikuwa zinaelea tu bila mwenyewe wajanja wakaziwahi. Hii ni kauli ya chini sana iliyowAhi kutolewa na mkuu wa nchi.
Hiki la Escrow nayo ikulu inaonekana kuhusika moja kwa moja.
Cha kutushangaza kila bunge linapokuwa na mjadala mzito kuhusu utata katika nchi Jk anakuwa yupo nje ya nchi.
Sijui ni nani aliyemwambia kuwa kuyakimbia matatizo kunampa uhalali wa kutohusshwa.
Too low mr president!!.
.
Hahahahahaa mkuu umenikumbusha Pandora box la makinda.... kesho yukpo kwenye kiti Senkyuu veree macheeesasa hivi ni Pandora box, unachotaka ni kufungua ...worms''.
Naona utetezi kwa mbaaali!!!
Ikulu imo!
Wewe tulizana hii pesa wamekula wengi hao wanasiasa unaowaamini ukisikia wamevuta pesa sijui utaanguka kwa presha.
.
.
Ikulu yetu imeshushwa dhamani mno kiasi kwamba hata msanii Kingwendu anajiona anaweza kuwa rais wa Tanzania.
Nakumbuka maneno ya Lowasa kuwa aliwajibika kwa kujiuzulu kuokoa wakubwa. Sasa jiulize kama yeye alikuwa PM ni nani aliyekuwa mkubwa wake ila makamu wa rais n rais mwenyewe?
hapa itakuonyesha bila shaka kuwa ikulu ilihusika a wizi wa Epa. Ukizingatia hata rais aliwahi kutoa kauli kwamba pesa Zile zilikuwa zinaelea tu bila mwenyewe wajanja wakaziwahi. Hii ni kauli ya chini sana iliyowAhi kutolewa na mkuu wa nchi.
Hiki la Escrow nayo ikulu inaonekana kuhusika moja kwa moja.
Cha kutushangaza kila bunge linapokuwa na mjadala mzito kuhusu utata katika nchi Jk anakuwa yupo nje ya nchi.
Sijui ni nani aliyemwambia kuwa kuyakimbia matatizo kunampa uhalali wa kutohusshwa.
Too low mr president!!.
.
sasa hivi ni Pandora box, unachotaka ni kufungua ...worms''.
Naona utetezi kwa mbaaali!!!
Ikulu imo!
Umeishajiuliza kwa nini orodha ya waliokula hizi pesa za Escrow ni Wakirsto? Na umeishajiuliza kwa nini Mkombozi Benki inayomilikiwa na Kanisa ndiyo pesa zilikuwa zinapitia huko.Kwa hiyo CCm ni chama cha Kikiristo? hata Kikwete pia. Mkuu Ritz mkiambiwa CCM ndio wanaosambaza udini mnapiga kelele. Sasa hao wanaokula rushwa sio wana CCM?
Wapi nimetetea naona povu linakutoka, busha ni ugonjwa wa binadamu hata wewe unaweza kupata ugonjwa mbaya kuzidi busha usijione kutembea mzima Mungu kukupa afya ukajiona mjanja kutoa kashfa kwa magonjwa, kuna uzi wangu upo kasome ujue msimamo wangu.Presha anayo aliyeenda kufanyiwa upasuaji wa busha, naona unatetea buku 10 za Lumumba vikao haviishi