Mkuu wa nchi yumo. Amepewa vyombo vyote vya dola, hana excuse ya kusema kashauriwa vibaya. Mkuu wa nchi, Rais yumo katika EscrowKivipi mkuu. BOT wameeleza vyema kabisa na kwa maelezo yao mimi nakubaliana na hitimisho lao kwamba walitekeleza majukumu yao kwa weledi mkubwa. Katika hayo maelezo wameweka wazi ya kwamba mkubwa wa nchi alitoa baraka baada ya BOT kushauri kwamba viongozi wa kitaifa wajulishwe kuhusu malipo hayo. Huoni kwamba mkuu hapa anaingia?
Unadhani kila mtu analipwa buku 7 akae humu kutetea mafisadi kama wewe? Usikimbie kwenye hoja, nyie ni wezi, na tutakukeketeni wote. Ndo maana mlitaka kumuua Mr. Mkono, kisa kaisimamia kesi mpaka kimeeleweka. Wezi wakubwa nyieUliipata pata, ukaingia mitini.
zamani manyerere jackson nikijua ni very bright kumbe..
mwandishi mzima anadonoa sehemu za sentensi na kuweka hapa ili kutaka kuprove kitu ambacho hakipo,kha...!!
Ukweli mchungu Rais wetu na mifumo ya usalama wa nchi ni dhaifu. TISS ilibidi wajue hili mapema. Tutambiwa Rais alishauriwa vibaya, case closed.
Unadhani kila mtu analipwa buku 7 akae humu kutetea mafisadi kama wewe? Usikimbie kwenye hoja, nyie ni wezi, na tutakukeketeni wote. Ndo maana mlitaka kumuua Mr. Mkono, kisa kaisimamia kesi mpaka kimeeleweka. Wezi wakubwa nyie
Point ya mtoa mada ni kuwafaamisha wahusika kuwa endapo ripoti ya kuwasilishwa bungeni itakuwa imechakachuliwa, wafahamu kuwa 'original copy' tayari ipo mikononi mwa watu. Pamoja na kwamba hizo page mbili hapo juu zipo mtaani tayari, lakini zinatoka kwenye 'original report', sio iliyochakachuliwa. Kwa hiyo kama itawasilishwa bungeni iliyochakachuliwa, ndipo mzigo original utakapowekwa hewani. Kwa sasa bunge liachwe lifanye kazi yake.
Eti unajifanya taahira. Umepata menopause akilini eeh. Mnalo mwaka huu, hakuna hela ya kampeni hapa. Mkauze makochi mhonge watu tshirt.Onesha hao wezi wako wapi, unabwabwaja bila ushahidi?
Itafute wewe hukumu, unaniuliza mimi? Kikwete kashauri "Maamuzi ya Mahakama kuu yatekelezwe kama alivyoshauri AG".
Kuna fedha zimetajwa hapo zitolewe kama ulivyoandika mwanzo?
Nini usichokielewa hapo ewe punguani?
mtu huwezi tu hata kujiuliza,,mbona hakuna nyaraka ikidai kua pesa hazikuwa za iptl? mpaka dakika hii?
Huo upunguani umetokea wapi tena? Ukimjibu kistaarabu utapungukiwa na nini wewe.Ndio maana unajibiwa hovyo na wachangiaji kumbe shari unaitafuta mwenyewe.
Eti unajifanya taahira. Umepata menopause akilini eeh. Mnalo mwaka huu, hakuna hela ya kampeni hapa. Mkauze makochi mhonge watu tshirt.
Wee ni mpuuzi, unajitekenya na kucheka mwenyewe. Nani kamgusia singa singa? Mie nipo na nyie wezi, nyie ndo maadui zetu wakubwa. Huyo singasinga ni daraja tu mmemtumia. Wala sihangaiki naye. Wezi nyie wote kuanzia profesa teziNaona sasa unabwabwaja na kuhororoja umeshindwa kuonessha Singa Singa kaiba nini.
Mkuu nasikia enzi za Mkapa TISS na PCCB waliwahi kutoa ripoti zinazofanana kuhusu IPTL,zote zikiitahadharisha serikali miaka ile mapeema kabisa hata kabla hatujafika huku.Sijui ni kweli?!
we mwanamke wewe,mimi nna fedha,mi sio wa kuja kulialia hapa jf kama wewe,kulalamika humu daily.usijali lakini ntamwomba ff akutafutie angalau uhousegail kule otawaBahati mbaya mgao umekupita kushoto,jitahidi hivyo hivyo huenda ukatupiwa japo makombo!
Mkuu wa nchi yumo. Amepewa vyombo vyote vya dola, hana excuse ya kusema kashauriwa vibaya. Mkuu wa nchi, Rais yumo katika Escrow
Wee ni mpuuzi, unajitekenya na kucheka mwenyewe. Nani kamgusia singa singa? Mie nipo na nyie wezi, nyie ndo maadui zetu wakubwa. Huyo singasinga ni daraja tu mmemtumia. Wala sihangaiki naye. Wezi nyie wote kuanzia profesa tezi
Demokrasia, demokrasia, demokrasia!
Hakuna awamu unayoweza kuongea yako ya moyoni kama hii, yawe ya ukweli yawe ya uongo. Kumbuka hilo.