JF Exclusive: CAG Report on IPTL/Tegeta Escrow Account


Wewe nae Una hangaika kwa haraka zako tuuu! Soma lengo la huu Uzi!
 
Last edited by a moderator:
Pamoja na kwamba atajitetea kuwa alishauriwa vibaya,

Speed ya haya malipo kwa Oct-Nov ilitosha kabisa kumshtua Rais kama hakuwa na dhamira ya dhati ya mgao.
Kujinasua hapa ni ngumu.

Kwa akili ya kawaida ilishangaza riz kuhamgaika na report wakati kipindi hicho hata ubunge hakuwa anaota, zaidi ya deal kama hizi ambazo Simba Trust ya Australia yenye wamilia wamili wake Tanzania ilikuwa ikijipigia.
 
Okey lets say mkuu wa nchi hawezi kuwajibika kutokana na nafasi yake kama mkuu wa nchi, basi ni dhahiri Pinda na Werema wafukuzwe kazi kwa kosa la kumshauri raisi vibaya hadi kupelekea taifa kusitishiwa trillion kadhaa za msaada kutoka kwa wahisani.
 

Hivi ndivyo kufata katiba ya nchi?



Unajuwa hiyo picha historia yake?
 
Huku isuue ikiwa hot yeye kakimbia kutibiwa?

Kazi kwa Wabunge tuone nawao kama watachukua mgawo wamalizane Nchi hii siya wajinga ndiyo waliwao!.
Nadhani Prof.Ndulu atakuwa anaonewa kama dhoruba itamkuta kama hii taarifa ni jinsi walivyoshughulikia issue hii ya Escrow pale BOT ingawa mimi ningemtupia lawama kwa kushindwa kuomba kukutana na Mhe.Raisi Uso kwa Uso.

Kama kuna Member humu anaweza kuileta Picha Moja ya Jk na Gov.BOT ikionyesha kutokea mushkeli tuweze kuconet dot na taarifa hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…