JF Exclusive: CAG Report on IPTL/Tegeta Escrow Account

Hawa jamaa "wajanja" wamepima upepo kiwango cha original report kusambaa......hiyo kunyofoa ni ili wenye original wasimame sasa wajulikane ni "wafunge kazi" ......ila kauli ya Invisible kuwa ipo "mawinguni" maana yake kwa muda uliosalia "wameshafeli"

Ipo mawinguni lakini mwenye access na nayo ni huyo mtu , watamdhibiti kwanjia yoyote ile iwe mabwepande, mwakyembe au kumkibanda, akifanikiwa kupona basi itakuwa kipindi cha uchaguzi 2015.Cha msingi ni invisible kuiweka yote hapa watu tupate copy.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Invisible
Please!
Please!
Please!

Weka hapa hii kitu hasa hizo kurasa za mwisho mkuu wangu zinatosha tu!
Remmember at JF "WHERE WE DARE TO TALK OPENLY"

Kigugumizi cha nini Mkuu wetu!

Hahahahaha apate wapi? Kati ya watu alosema wanayo eti 60 yaani wote hawawezi kuaplod page ya mlolongo wa wizi? Hahahahaha iko hivi, zitto hupewa report asubuhi na hunyanganywa pindi mahojiano yanapoisha na kuna usalama wa ccm kibao na mapolisi wanasimamia na ni forbidden kuingia na simu! Hana page hata moja yenye uzito! Humu ndani tunaweza issue za sitti mtemvu tu
 
Last edited by a moderator:
Wakuu mbona pesa zilizoibwa ni nyingi .321 alafu majina na kiasi kilichogawiaa ni kidogo.? Pesa nyingine akina nani wame chukua. Maenye majina atupe tafadhali

Haya ndio majina ya waliokwapua hela ya Escrow.
1.Kubwa La maadui shokshugi- $ 1m
2.Chapa Mamba - $ 3m
3.Mkweli- $2m
4.tibakajumu - $1m
5.Meno lundu-$3m
6.Amerew- $2m
7.Swima-$1m
8.....

Mengine tutayatoa baadae.
 
We bibi nae unakera!Yaani kila hoja wewe ni kupinga tu,hivi wewe ni mtanzania kweli?Mbona huna uchungu na hii nchi!Mi binafsi nimekuchoka,hata nikiona jina lako nahisi kama nimekutana na kinyesi njiani.

Kila mtu najira yake na anakula kwa urefu wa kamba yake,hiyo ndo ajira yake.
 
Kifupu tu, HAMNA KITU hapa.. Tunachezewa shele.. Nyi subirini fujo kesho. Mi siendi kazini najua hali itakuwa tete.
 
Haya ndio majina ya waliokwapua hela ya Escrow.
1.Kubwa La maadui shokshugi- $ 1m
2.Chapa Mamba - $ 3m
3.Mkweli- $2m
4.tibakajumu - $1m
5.Meno lundu-$3m
6.Amerew- $2m
7.Swima-$1m
8.....

Mengine tutayatoa baadae.

Hahahahaha ndo mnayoweza kufanya! Mfowadie invizibo aapudeti makabrasha yake hahahahaha asije vuruga mwenendo wa PAC sijui hahahahaha jidanganyeni tu ila report hakuna mtu anaweza kuwa nayo hata CAG mwenyewe hana! Vijana wa kijitonyama ni Nouma! Cag kaandaa ila hana hata copy ndo utazijua kura za maruhani na chinise technology yaani ukipiga ndio kwa Slaa inahamia kwa baba mwanahawa au Vasco DA gama
 

Mkuu,
Nilifikiri umekuja na majibu kumbe na wewe una maswali kama mimi?
 
mkuu pilot, leave alone that twit by the name FaizaFoxy; it is a waste of time and energy to teach such a chicken-headed lady a lesson she's not willing to understand. her head has go not brain but it's full of maggots.

Who ever reads this knows whose head is full maggots.
 
Haya ndio majina ya waliokwapua hela ya Escrow.
1.Kubwa La maadui shokshugi- $ 1m
2.Chapa Mamba - $ 3m
3.Mkweli- $2m
4.tibakajumu - $1m
5.Meno lundu-$3m
6.Amerew- $2m
7.Swima-$1m
8.....

Mengine tutayatoa baadae.

Kumbe mhongo kapiga parefu $2m?
Gavana naye 3m, Chapa mamba sijamjua bado dadavua kidogo!
 
i smell something very fishy here.i dont think the decision made by JF officials will have any positive impact towards the majority aka wadhulumiwa ambao ni sisi wananchi wa kawaida.anyway lets the see what will happen.
 
teheth! HABARI ndio hiyo!

Mkuu Invisible Husikii kilio cha watu ndugu yetu? Yericko Nyerere hina wewe hii kitu? JANSorne baron Vipi kimya vitu vizito kama hivi vinakupita?

Ipo mawinguni lakini mwenye access na nayo ni huyo mtu , watamdhibiti kwanjia yoyote ile iwe mabwepande, mwakyembe au kumkibanda, akifanikiwa kupona basi itakuwa kipindi cha uchaguzi 2015.Cha msingi ni invisible kuiweka yote hapa watu tupate copy.

Hawana report original bana! Vasco DA Gama mwenyewe anasemaga oohhh Mara mafisadi nawajua mara wauza Inga nawajua mara ohh majangiri hasa mkubwa wao namjua yaani kama kichaa! Narudia tena JF haina nakala halisi za report hii! Hatuwezi kujivua nguo! Kama iko mawinguni pandeni helikopta muifate!
 
Last edited by a moderator:

Porojo tu hizo, hana kipya, kama anacho akiweke hapa. Anaogopa?

cc Invisible
 
Natamani Serikali yote ivunjike, wafilisiwe, na kukamatwa wote!! au JWTZ iingilie kati kieleweke tu.
 
Haraka ya nini wakati ngoma inasomwa bungeni keshokutwa tar 26?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…