JF Exclusive: CAG Report on IPTL/Tegeta Escrow Account

Wala usisubiri, rejea kule haraka! Tena yanukuu haya ninayoyasema vema.
Jambo zuri ni kuwa JFinatunza kumbu kumbu.

Hebu tuutende huu uzi haki, na ule upewe haki yake

Tusikimbiane mimi nitakukumbusha ukisahau otherwise unikumbushe wewe nikisahau.
 

Ukurasa wa 24 para ya tano na ya sita
 
Na wewe unakuwa mtu wa kuingizwa mkenge kirahisi.utajuaje ripoti imechomolewa kabla ya kusomwa?je ikisomwa yote si utajishushia hadhi?ungeacha wanyofoe halafu umwage ndio ungeonekana shujaa
Sasa hata akiwasilisha wakati imesomwa itasaidia nini, Huoni kuwa tutakua tumechelewa.

Barua ya mahakama kuzuia mjadala wa Escrow bila kelele za wabunge na wadau mbalimbali ingekua ilishafika bungeni.

Tunapambana na watu hatari sana wanaoijua nchi hii kuliko wananchi wenyewe.
 
Address ya picha za document zilizowekwa hapa inajieleza wazi ,THE MISSING PAGE.JPG.
Na wamesema hizo missing page ama kwa lugha utakayoelewa KURASA ZILIZONYOVYOLEWA ndo zenye kuonyesha wizi,sasa mbona hatuoni?
 

Kwanini nitafute nje ya ripoti? weka ripoti hapa tuone, kama hauna inabidi usubiri Zitto aiwakilishe rasmi bungeni.

Tunajadili kilichokuwepo mbele yetu si cha kuanza kukitafuta, kama wewe unacho weka hapa tukijadili.

Ya nini tuandikie mate na wino upo?
 
Hercule Poirot, on post #384 , you are making a strong point. Na sasa naelewa kwa nini Zitto alisema wabunge wajiandae kujadili facts badala ya watu. Hii ripoti ya CAG inaonekana haijatuhumu watu bali imeeleza facts ambazo zitapelekea baadhi ya watu kutiwa hatiani. You just mentioned a classic example.
 
Kwani hizi pg mbili zinatusaidia nini wakati zipo mtaani? Angeweka pg tatu za mwisho ndio tungeona anataka kutusaidia na hatumiki na hao wanaosambaza

Swala ni kwamba hizo page mbili zisomwe zote bungeni,

na kama Huoni chochote kwenye hizo page mbili hata ukipewa tatu za mwisho au ripoti nzima hutaelewa chochote.!
 
Invisible still waiting for the whole report tupatie iki tufuatilie mjadala kwa ukaribu zaidi.
 
Hapa cha kujiuliza hizo 79 zilikuwa za kulipia tangu lini hadi lini na wamelipwa za tangu ngapi na za tangu lini mpaka lini na je hawajalipwa za tangu lini mpaka leo.
 
Fedha zimegawanwa na nani na kwanini kwanza AG aizinishe.

Mafisadi wote waliopinga na wanaopinga taarifa rasmi na sahihi kutoka kwa wawakilishi wa wananchi wenye moyo wa uzalendo

Na kwa nini AG aling'aka na kuhamaki kwa jaziba hadi kufika mbali na kumwita mwakilishi wa wananchi mnyama?
kuidhinisha ni sheria ya nchi or else ni money laundering!

 
Na ndo tunataka wabunge wakajadili figure,mahesabu sio,''ooh mkono amenituma nikamlipue maswi au mhongo''.
hatutawaelewa figure ndo zitahukumu hii ishu.
 

Soma vizuri, "ilisemekana". Aliyoyasema nimeonesha para ya kwanza, hujui jana humu humu JF kilisemekana nini? pitia nyuzi.

Wacha kubishana kitoto, hizo pages zilizowekwa hapo hazina implication yoyote, sasa wewe kama unazo zenye implication yoyote ile, weka hapa, wacha porojo.
 
Elungata@
Kikao cha makubaliano ya 79 usd kilikuwa oktoba8, 2013

Oktoba 9 bodi tanesco ikawaandikia barua katibu mkuu nishati

Wakishauri oktoba 21 iptl walipwe 79 zao...

Tukumbuke ni mwishoni mwa mwaka jana iptl walipewa pesa za escrow
 
Mafisadi wote waliopinga na wanaopinga taarifa rasmi na sahihi kutoka kwa wawakilishi wa wananchi wenye moyo wa uzalendo

Na kwa nini AG aling'aka na kuhamaki kwa jaziba hadi kufika mbali na kumwita mwakilishi wa wananchi mnyama?


Werema kumwita kafulila tumbili hiyo sio ishu ya kitaifa.ishu ni je kuna wizi,nani kaiba na kaiba vipi then awajibike.
 

Nimeelewa sana tena sana, nisome vizuri; ikiwa hizo ndio "zilizonyofolewa" na hazina chochote cha maana itakuwa hizo zilizosambazwa?

Fikiri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…