OLESAIDIMU
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 19,139
- 9,575
CCM wangekuwa against hii issue wangeivumbua mapema kwa sababu wana full access na mambo yanayofanyika, lakini walikaa kimya hadi pale issue ilipofunuliwa na mbunge wa upinzani sasa CCM nao wanajifanya kuamka! Hivi lusungo unataka kutuaminisha CCM hasa waandamizi wakuu hawakujua uwepo wa huu uharamia kabla ya mhe. Kafulila?
Utaona kuwa kuna watu humu huwa hawafikiri hata kidogo, hizo kurasa zilichomolewa kwenye kompyuta? wanataka ripoti iliyovuja mitaani zaidi ya iliyopo kihalali kwa PAC?
Hata mimi sikioni ni nini kikubwa kwenye hizi kurasa zilizowekwa hapa mpaka watu waongee hovyo.
Naona hauna hoja unaanza kuhororoja, wewe ambae si muoga anza basi maandamano, si huwa anaanza mmoja wengine wanafatia, unasubiri nini?
Hii si ripoti ya mtu, ni ya watu. Utahonga wangapi? Kama kuna jumla ya watu takribani 60 wanayo, utaanza na nani umalize na nani?
Narudia, moto huu hauzimiki kwa kuumwagia petroli!
Jaina jipya? Isingekuwa na jipya Chama cha Majambazi mngelikuwa manajapa upepo? Kina pinda wanatamani kikombe kiwaepuke wewe unaleta utumbo hapa? Hadi Prof Busha anatetemeka huko aliko.....:becky::becky::glasses-nerdy:Naona umekasirika, ulioyakuta hukuyategemea? usikasirike, huo ndio ukweli.
Mtaumia roho zenu sana mwaka huu. Hamna jipya zaidi ya kutukana na kusema uongo.
Naona sasa unaanza matusi bila mpango.
Lengo la invisible ni kuwajulishaa kuwa ripoti kamili ipo, nini zaidi? nyie mnafata ripoti za mitaani eti "zimenyofolewa", nani aliyerusha huo uongo? kituo hicho hicho cha dalali?
Jiulizeni, walinyofoa na kwa CAG? walinyofoa na PCCB? walinyofoa na kwa Zitto.
Hebu fikirini japo kiduchu, msiwe zaidi ya misukule.
Katika sababu zilizotoldwa na CCM wamati wanatafuta sababu za kushuka kwa kura za JK ni JF....Kijana mbona unakurupuka, na wewe umeingia mkenge kwa uzushi wa mitaani kuwa ripoti eti imenyofolewa kurasa?
Hizo zilizowekwa hapa ni nini?
Na sijaona chochote cha kuonesha wizi wowote kati ya hizi kurasa zilizowekwa hapa.
Nashindwa hata kuwafikiria mkoje, yaani ni zaidi ya misukule.
Wacha kukurupuka, huo ufisadi uko wapi? kuna ufisadi zaidi ya kuachanisha mtu na mkewe na ukamfanya hawara yako?
...! Wewe Nadhan Ni Demu, Siyo Mwanaume.!
Wamatumbi wameamka sasa naona fujo kwenye huu uzi zimeanza...
Naendelea kukusanya ushahidi wangu kuwa hii ID inatumika kama taasisi..Fungukeni tuwasome