Kwa wale wenye barua pepe kupitia JF, tafadhali tembelea:
mail.jamiiforums.com
na kusoma barua pepe zenu. Kuna ujumbe muhimu kwenu.
Kwa wale wenye kupenda kuwa na barua pepe kupitia JF ni ruksa, tuma ombi kwenda kwa invisible@jamiiforums.com na itafanyiwa kazi haraka sana. Storage ni 6.5GB.
Karibu
Invisible,
mkuu nifungulie hiyo email account
Akhsante
Nziku soma PM yako upate maelezo ya namna ya kutumia email yako mpya ya nziku@jamboforums.com.Mkuu invisible nami naomba hiyo service, nimejaribu kutumia E mail yako uliyoitoa hapo juu, nimekwama nilipofika kwenye kujaza servers.
I thank you in advance.
Kwa wale wenye barua pepe kupitia JF, tafadhali tembelea:
mail.jamboforums.com
na kusoma barua pepe zenu. Kuna ujumbe muhimu kwenu.
Kwa wale wenye kupenda kuwa na barua pepe kupitia JF ni ruksa, tuma ombi kwenda kwa invisible@jamboforums.com na itafanyiwa kazi haraka sana. Storage ni 6.5GB.
Karibu
Kwa wale wenye barua pepe kupitia JF, tafadhali tembelea:
mail.jamiiforums.com
na kusoma barua pepe zenu. Kuna ujumbe muhimu kwenu.
Kwa wale wenye kupenda kuwa na barua pepe kupitia JF ni ruksa, tuma ombi kwenda kwa invisible@jamiiforums.com na itafanyiwa kazi haraka sana. Storage ni 6.5GB.
Karibu
Haya Inv.
Nami maombi yangu nayaleta mbele zako ewe Invisible ya
Utamaduni@jamiiforums.com
Nadhani nimepatia au maombi hayatumwi hapa hadi kwa EMS?
Shukrani.