sina maoni 🐒Location unaijua mdau acha zako
Karibu tulijenge taifa😅
NB : Argentina 0: Egypt 0
Egypt 1 😭sina maoni 🐒
Du know even what fwb means fella?Who are we then? 😂
Sawa mkuu🥴Punguza sauti hii itamumiiza zaidi si unajua ni shabiki wa CR7
For what purposes?That's very bad you need friends dear
Ngoja tuone sitamani kuona Argentina akitolewaHahaha jamaa wanakaza hali rudi it's a gudubai kwa wote
Am not interested!Yeah, because we can break the rules where necessary
Mkuu jf is inevitable maybe you can fix your timetable and use it on weekend timeKuna watu wanahisi jf haiko addictive.
Lahaula, hata hii ni social media platform kwa kivuli cha forum
Nahisi sasa ni muda wangu kutoka, for some time... I need to recharge.
My team si out🇵🇹, I feel lethargic na naona it's good to have a break. Also jf is taking a huge amount of my time, I need to find balance..
So leo itakuwa siku ya mwisho then kuanzia kesho, I'll be having some me time and my family, the people I take for granted. Na ndo wanijuao mimi kuliko online anonymous strangers.
So if na wewe unahisi kuchukua hii challenge, take it, this place can be addictive pia just like Instagram and other platforms...
Growth needs both recharging and participating.
Do I look like I need all that?For your overall well-being
Ukija kurudi uwe umeamua moja kuhusu matumizi yako ya lugha. Kama ni Kiswahili ni Kiswahili na kama ni Kiingereza ni Kiingereza vinginevyo uende mazima kabisa. Kuchanganya kwako lugha kumezidi labda ndo swagger sielewi. Ukirudi uje sawa kwenye lugha aisee vinginevyoooo... 😂😂😂Kuna watu wanahisi jf haiko addictive.
Lahaula, hata hii ni social media platform kwa kivuli cha forum
Nahisi sasa ni muda wangu kutoka, for some time... I need to recharge.
My team si out🇵🇹, I feel lethargic na naona it's good to have a break. Also jf is taking a huge amount of my time, I need to find balance..
So leo itakuwa siku ya mwisho then kuanzia kesho, I'll be having some me time and my family, the people I take for granted. Na ndo wanijuao mimi kuliko online anonymous strangers.
So if na wewe unahisi kuchukua hii challenge, take it, this place can be addictive pia just like Instagram and other platforms...
Growth needs both recharging and participating.
mafarao wanamshangaza Messi sio 🐒Egypt 1 😭
Kama ya jana kwa CR 7mafarao wanamshangaza Messi sio 🐒