Psalm 103
JF-Expert Member
- Jul 5, 2026
- 1,659
- 2,686
Kuna watu wanahisi jf haiko addictive.
Lahaula, hata hii ni social media platform kwa kivuli cha forum
Nahisi sasa ni muda wangu kutoka, for some time... I need to recharge.
My team si out
Kuna watu wanahisi jf haiko addictive.
Lahaula, hata hii ni social media platform kwa kivuli cha forum
Nahisi sasa ni muda wangu kutoka, for some time... I need to recharge.
My team si out
Hahaha wakati anajiunga humu alipiga hodi? Mbona humu watu huwa tunapotea hata miaka mitatu na tukirudi watu hawashangai ?Mkuu humu unapotea zako kimya kimya tu na wala hakuna pengo linaloonekana
Itakuwa🤣Au hakuiona barua ya Wazi 😂
Ni nyie ambao mna ngebe tumboni mnaona issue, kuandika niandike mimi muumie nyie..Hahaha wakati anajiunga humu alipiga hodi? Mbona humu watu huwa tunapotea hata miaka mitatu na tukirudi watu hawashangai ?
I'm sorry dude. mimi nimesema tu sio kwa ubayaStop being a creeper dude, mbona una nongwa?
Madhara ya kuona kama kuna mtu anakutilia maanani sana humu ndaniHahaha wakati anajiunga humu alipiga hodi? Mbona humu watu huwa tunapotea hata miaka mitatu na tukirudi watu hawashangai ?
Kijana punguza kutafuta attention ambazo hazina umuhimu. Tunakuelekeza tu. Tupo humu miaka 16 hatujawahi kuishi humu kwa ajili ya kutafuta attentionNi nyie ambao mna ngebe tumboni mnaona issue, kuandika niandike mimi muumie nyie..
What a pitty society we live in
Take it easy champ.We are just having fun in here, no one was ever disrespected
Mkuu nimepotea humu miezi minne nimerudi jumamosi mbona hakuna hata aliyenishangaaa?Madhara ya kuona kama kuna mtu anakutilia maanani sana humu ndani
No one is seekingKijana punguza kutafuta attention ambazo hazina umuhimu. Tunakuelekeza tu. Tupo humu miaka 16 hatujawahi kuishi humu kwa ajili ya kutafuta attention
Labda wewe sio star boy bwasheeMkuu nimepotea humu miezi minne nimerudi jumamosi mbona hakuna hata aliyenishangaaa?
Sasa mbona unauliza maswali kuwa others are seeking attention kama hakuna aliye notice uwepo wako? Mbona watu mnakuwa na perception uchwara kwenye kila kitu?Mkuu nimepotea humu miezi minne nimerudi jumamosi mbona hakuna hata aliyenishangaaa?
Peace ✌️No worries
Ukijilazimisha kujamba utakunya . Wewe jipoteze tuKuna watu wanahisi jf haiko addictive.
Lahaula, hata hii ni social media platform kwa kivuli cha forum
Nahisi sasa ni muda wangu kutoka, for some time... I need to recharge.
My team si out🇵🇹, I feel lethargic na naona it's good to have a break. Also jf is taking a huge amount of my time, I need to find balance..
So leo itakuwa siku ya mwisho then kuanzia kesho, I'll be having some me time and my family, the people I take for granted. Na ndo wanijuao mimi kuliko online anonymous strangers.
So if na wewe unahisi kuchukua hii challenge, take it, this place can be addictive pia just like Instagram and other platforms...
Growth needs both recharging and participating.
Kunya kwenye nguo ni kujinyeaSasa kwani dhambi?😂