Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 27,192
- 79,040
That’s why i like u!I ain't even pop it off, I let him pop off 😄
That’s why i like u!I ain't even pop it off, I let him pop off 😄
Dogo mpaka sahivi hujaondoka au umeghahiri?Haya kikaragosi analia leoo
View attachment 3624443
Nmeenjoy sana walichonga sana jana hawa fans wa huyu kikaragosiHaya kikaragosi analia leoo
View attachment 3624443
Argentina ni mbovu sana. Sasa kwa Colombia si angepigwa 7Hii inampa CR7 points kujua mpinzani wake katolewa na timu iliyo chini hata ya top 20 ya dunia
Wanajitutumua sana ila leo
Wamerudisha ngoja tusubiri mpaka full timeWanajitutumua sana ila leo
if they are disrespecting you, confront themUanozaje kwa fake id? Hebu acha hizo ngalo!
Au hakuiona barua ya Wazi 😂Uanozaje kwa fake id? Hebu acha hizo ngalo!
Nipo bize na GOAT.Sikuoni kabisa siku hizi luv
Kwa haya makelele ya watu wa team MESSI hata mimi acha nijiunge kwenye challenge yakoKuna watu wanahisi jf haiko addictive.
Lahaula, hata hii ni social media platform kwa kivuli cha forum
Nahisi sasa ni muda wangu kutoka, for some time... I need to recharge.
My team si out🇵🇹, I feel lethargic na naona it's good to have a break. Also jf is taking a huge amount of my time, I need to find balance..
So leo itakuwa siku ya mwisho then kuanzia kesho, I'll be having some me time and my family, the people I take for granted. Na ndo wanijuao mimi kuliko online anonymous strangers.
So if na wewe unahisi kuchukua hii challenge, take it, this place can be addictive pia just like Instagram and other platforms...
Growth needs both recharging and participating.