JF detox... Time šŸ““

JF detox... Time šŸ““

Mwaya nitakumis sana.

Sisi wengine JF ni kijiwe cha gahawa /kibaraza cha umbea uswahilini , tukichoka na kuuza supu tunakuja kuzogoa humu, hapo mtu haujibu msg wasapu/haupokei simu ila JF uko active.

It’s JF and ticktock for me.
Kumbe hili tatizo sio Langu tušŸ¤¦šŸ½ā€ā™€ļø
 
Punguza sauti hii itamumiiza zaidi si unajua ni shabiki wa CR7
b15d7dcf-1d64-4c0c-b4b6-5b23099fde26.jpeg
 
Back
Top Bottom