JF Dar-Wing, White Party-TIMETABLE

Muhudumu leo nipo safi, kuna kinywaji ukiniagiza tu ntajua wewe ndio ODM
 
Last edited by a moderator:

Sijaona jina lako kwenye listi ya wateule wa CC. Hivyo leo sitaagiza Guinness ili kumshinda shetani.
 
Wahudumu hatuna ID . Kazi tuliopewa ni kuwahudumia nyie leo! Tumeambiwa kua mtu asikaukiwe na kinywaji! Hapa saa hii nipo na wahusika wakuu wantupa maelekezo ! Karibu sana ODM
 
Asprin likes this.
 
Aseeee......
Kanda ya ziwa wing mpo wapi? Daaaaaeeeeeemmmn.
CC First Lady1
Aaah kumbe kiongozi haupo leo? Nilijua we ni kati ya wale 5 wasioandika majina. Hapa naona mambo yaanaanza kwenda sawa nimeshaweka vinywaji vyote sawa
 
Last edited by a moderator:
Zanta vipi mbona hujanipokea mpaka nimeingia ndani?

Wahudumu hatuna ID . Kazi tuliopewa ni kuwahudumia nyie leo! Tumeambiwa kua mtu asikaukiwe na kinywaji! Hapa saa hii nipo na wahusika wakuu wantupa maelekezo ! Karibu sana ODM
 
Last edited by a moderator:

Shindwa shetani!!!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…