Madame B mzima weye.
Nidadafulie ni yepi yaliongelewa,
ile siku nilikaa nje hivyo sikuingia ukumbini,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,
but next time Mungu akipenda i should attend,
I am sure nitakuwa niko poa wakati huo.
Nakubaliana na gfsonwin iwekwe summary ya yaliyojiri na yaliyokuwa yanahitaji utekelezaji
Mimi mzima kbs mpendwa.
Bwana Yesu Asifiwe.
Ni kwamba Maxence Melo alitupa wazo fulani hivi,sasa ndo tunataka tukutane ili tulijadili.
NitakuPM hilo wazo lenyewe.
Wasije Arusha-Wing wakatupokonya mawazo yetu.
CC: Shem Filipo, Switii Arushaone, Chama mwenzangu LiverpoolFC,
Mke mwenza Blaki Womani,
Wifi marejesho, Kaka Mungi,
Kaka-binamu Erickb52,
Shosti Preta na
Mke wa Mpendwa Lily Flower.
Umekuja vizuri ukaharibu mwisho kumtaja Bazazi Asprin au nasema uongo Kaizer??je mkulu Superman hii imekaaje je alitakiwa kuwekwa kwenye bango wakati kaja shughuli wanaanua matanga??Mhmmm labda in another way not only for the white party!!mzee wa ODM kajaje hapa wakulu nisaidie! Madame B weka neno!je anahusika huyu kiumbe??
Hilo wazo lwenu lilishatekelezwa zamani nyi ndio mmeanza kutambaa wakati si tuko skonga long time yan nyie bado mko Analogy sisi tuko zetu Digitali tangu enzi za Mwalimu!Mimi mzima kbs mpendwa.
Bwana Yesu Asifiwe.
Ni kwamba Maxence Melo alitupa wazo fulani hivi,sasa ndo tunataka tukutane ili tulijadili.
NitakuPM hilo wazo lenyewe.
Wasije Arusha-Wing wakatupokonya mawazo yetu.
CC: Shem Filipo, Switii Arushaone, Chama mwenzangu LiverpoolFC,
Mke mwenza Blaki Womani,
Wifi marejesho, Kaka Mungi,
Kaka-binamu Erickb52,
Shosti Preta na
Mke wa Mpendwa Lily Flower.
Mimi mzima kbs mpendwa.
Bwana Yesu Asifiwe.
Ni kwamba Maxence Melo alitupa wazo fulani hivi,sasa ndo tunataka tukutane ili tulijadili.
NitakuPM hilo wazo lenyewe.
Wasije Arusha-Wing wakatupokonya mawazo yetu.
CC: Shem Filipo, Switii Arushaone, Chama mwenzangu LiverpoolFC,
Mke mwenza Blaki Womani,
Wifi marejesho, Kaka Mungi,
Kaka-binamu Erickb52,
Shosti Preta na
Mke wa Mpendwa Lily Flower.
Hilo wazo lwenu lilishatekelezwa zamani nyi ndio mmeanza kutambaa wakati si tuko skonga long time yan nyie bado mko Analogy sisi tuko zetu Digitali tangu enzi za Mwalimu!
Ongeeni tu Madame B si hayo ni ya kale!
Copy kwa Maxence Melo

gfsonwin heshima yako mwalimu,
waache watoto waseme teacher.
Samahani matokeo ya shule yako yakoje mkuu,
naona hali siyo swari kwenye taasisi yako mwalimu.
Ni mekumiss siyo siri!mnakaribia kuveshwa kanga kwa maneno yenu haya. mi simo.
dah! usiseme jamani shulen kwangu nina four na zero tu.
kiukweli ninahasira yenye uchungu sana moyoni mwangu.
hawa watoto wanapiga kelele sana sitaki usumbufu kwa sasa.