Mbona unachart sana na BS?
Talaka 1 (Yellow Card) inakuhusu we mdada!!
Ben Saanane anahtaji mke, nami ndo namtreinii nikimuona anakidhi viwango naweza nikamuadi kwenye listi.
Ben Saanane anahtaji mke, nami ndo namtreinii nikimuona anakidhi viwango naweza nikamuadi kwenye listi.
Umu-add kwenye list??
Mimi je??
Ha ha ha,wera weraaaa! Naona Shark amekinukisha.....
Achana nae huyoooooooooo................
Tufanye yetu Ben Saanane.....
copy: Arushaone, Chimbufu, ChiliAchana nae huyoooooooooo................
Tufanye yetu Ben Saanane.....
auwwww! That's my empress.....Nakuja Swir wangu.
Maana kwa jinsi nilivyokumiss,we acha tu.
Naweza nikazima ghafla.
Well noted.
Kwa vile nakupenda inabidi nipige kimya tu, hili limbwata ulilonipa kiboko.
Yaani natoswa "live" lakini bado nimo tu!!
auwwww! That's my empress.....
Ndiyo nimetoka ofisini swits wangu
weekend hii I want to make all of your desires come true. When i get there I plan to begin my slow......
Ha ha ha,umbeya dot.com.....
Hakuna fumanizi hapa.
Ha ha ha.mimi ndiye nilianza naye tangu mwanzo.huoni hata jina lake?jiulize siri ya B kwenye jina lake.....