Jf Couples (New Version)

Jf Couples (New Version)

kweli arudishwe hata siku 2 atupasue vichwa.
Maana sijui huwa anapata wapi topic zake
lazima watoe ndani na mataulo.

hapo chacha! lol... I miss the gal, nilidhani amerudi bana, nimekuta threads zake zimepandishwa nikasema the gal is in the house..... Kumbe Watu wamemumiso. Last time I heard anaenda shule na yahitaji attention yake yote...lol

:lock1:
 
Asante Gee Cee
ila ngumu kweli kuruka geti

watu wanaparty afu wanakuwa wanakupotezea kiaina sababu unavalishwa mask.

Halafu nasikia b52 aliondoka na glass 4 za wine kwenye shughuli fulani juzi!.. Nikamwambi Sweetlady amtafute Bagah,akasema ndo walewale.. Aibu kama nini!
 
kweli arudishwe hata siku 2 atupasue vichwa.
Maana sijui huwa anapata wapi topic zake
lazima watoe ndani na mataulo.

Yule alikuwa kiboko ya njia..

Kuna thread aliiweka akitangaza charges zake za kumlala!

Akampata mtu wakaanza kubargain... Yeye dau linaanzia Mil Moja.. Alimpunguzia jamaa elfu kumi tu!

Yule kiboko..
 
Hehehehe!

Jumamosi njema wapendwa wote! Leo nipo busy mahali fulani mtanisikia radioni..

Penda nyie wote!.

Mungu awe nanyi wakati wote!

Mwaaaaaaaa!
 
haaa! nami nipo single baada ya laadhidhi kwenda jela (sobhuza). Natafta mumeee jamani. platozoom naona unachelea kutangaza ndoa!
 
Last edited by a moderator:
May Shem, Preta nachukua fursa hii kuweka Marekebisho about couple No 1.
Couple hiyo Judgement Vc Husninyo ilitenguka au kubadilika mara tu Husninyo alipo announce rasmi kujitoa Jf kwa muda usiojulika.
Aidha kama ilivyo kua "wastara hua haumbuki" ama "mgaagaa na mkavu hali mpwa wa wali"
Judgement nikapata wa kunistiri Beibe Nasty.
Ndoa tuliifunga chapchap kwa ofice ya Dc, ikiwa imeshuhudiwa na 10 Members wa Jf. Labda niskitike hatukuitangaza sana kwakua kulikua na plenty of rivals against me!
So far in order to avoid some tragedy shughuli ikafanywa na watu wachache.
 
dah....shem....
kuna haja ya kufanya marekebisho kwenye huu uzi hakyanani....
 
haaa! nami nipo single baada ya laadhidhi kwenda jela (sobhuza). Natafta mumeee jamani. platozoom naona unachelea kutangaza ndoa!

a a....we wenzio waume zao wakifungwa huwa wanaongea na bwana jela ampeleke hosp.....then from zea changanya na zako.....
 
Last edited by a moderator:
May Shem, Preta nachukua fursa hii kuweka Marekebisho about couple No 1.
Couple hiyo Judgement Vc Husninyo ilitenguka au kubadilika mara tu Husninyo alipo announce rasmi kujitoa Jf kwa muda usiojulika.
Aidha kama ilivyo kua "wastara hua haumbuki" ama "mgaagaa na mkavu hali mpwa wa wali"
Judgement nikapata wa kunistiri Beibe Nasty.
Ndoa tuliifunga chapchap kwa ofice ya Dc, ikiwa imeshuhudiwa na 10 Members wa Jf. Labda niskitike hatukuitangaza sana kwakua kulikua na plenty of rivals against me!
So far in order to avoid some tragedy shughuli ikafanywa na watu wachache.

Sikutaka tia neno nisionekane kifront front bt asante kwa kuuelezea umma
 
a a....we wenzio waume zao wakifungwa huwa wanaongea na bwana jela ampeleke hosp.....then from zea changanya na zako.....

da Preta kwanza alinipa talaka cku ya kikao thn kesho yake ndo akapigwa ban. ilionesha kabisa nilionewa. hata mama yangu measkron ni shahidi. kuja kugundua kumbe anamfukuzia mke wa mtu CUTE, badala ya kumpata CUTE akapata ban! dats y nipo huru kutafta mume mwngne!
 
Last edited by a moderator:
a a....we wenzio waume zao wakifungwa huwa wanaongea na bwana jela ampeleke hosp.....then from zea changanya na zako.....
Preta yaliyopita yamepita acha kunivurugia mipango
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom