JF Competition 2012: Judges & Sponsors

Tichaa embu twende kwenye mpambano wetu wa kila siku OLD SCHOOL VS NEW SCHOOL/NEO MARXISTS!!!!!!! Inatakiwa ya kale yakutane na ya sasa!!!!!! Sasa usipokuwepo kule unafikiri itakuwaje! Ciello kuja pande hizi uongee na ticha!

hhahhah! sasa hapo ndo mtanange unapokuwa mkali wazee wa zamani Vs kizazi kipya lol! haya bana nimejivua ujaji ingawa niliupenda zaid.

haya sasa mzee mwenzangu Dark City, Asprin, FP Mwanajamii one na wengine wote bila kumsahau Wayne ma my swtlo Kaizer msikose kumpa sapoti mzee mwenzenu lol!
cc KakaKiiza, Mbimbinho, Eiyer, BADILI TABIA, nyumba kubwa, sweetlady, figganigga, @,mtambuzi,LCD, SnowBall, snowhite cacico, Paloma, The secretary, Bishanga, Superman, Allien, @sacstus mtsimbe, platozoom Ronn M , jeneneke King'asti, Kongosho Arushaone, paka jimmy @st paka mweusi Young_master Mkereketwa Kaunga et el
 
Last edited by a moderator:


Lara 1 umesomeka Mkuu. Sisi tunaheshimu maoni ya Wadau lakini kubwa zaidi maoni yako binafsi. waliokupendekeza kuwa Judge na waliokupendekeza kuwa Contenstant wote ni members wa JF. Uamuzi wako unaheshimiwa!
 
Marahabaa mdogo wangu chief jaji...mie mzima hofu na mashaka ni kwako uliye mbali na upeo wa macho yangu.

Nakumisije na ile Avatar yetu ya kaleee? Hakunaga yaani basi tu, bora nikae kimya! Afu unajua mimi ni Kibabu afu we unasema mdogo wako!
 
mi naona nimeshakuwa mgeni sana hapa Yerusalemu, uteja huu jamani......
haya kinaendelea nini hapa shosti tutoe hiyo sapoti kama inawezekana?
 
hahahahah ticha yuko bize anasaka taji lol...
Tichaa embu twende kwenye mpambano wetu wa kila siku OLD SCHOOL VS NEW SCHOOL/NEO MARXISTS!!!!!!! Inatakiwa ya kale yakutane na ya sasa!!!!!! Sasa usipokuwepo kule unafikiri itakuwaje! Ciello kuja pande hizi uongee na ticha!
 
okay okay...!

i will cash in 30,000/=..ni pesa ndogo lakini naomba niwe mmoja wa watakaofadhili

Naomba kutoa ufadhili wangu wa aina mbili:

1. Kutoa fedha taslimu
2.Kuruhusiwa kutengeneza special JF Certificate kwa kila mshindi. (Hapa nitafafanua kidogo)

Kila mshindi eg Gold Member, Tanzaniate au yeyote yule atapata Certificate yake kulingana na u-member wake) kwa gharama zangu mwenyewe na kuzituma popote nitakapoelekezwa zikiwa na majina, either Halisi au Yote mawili,,,Halisi na yale a.k.a

Naomba kuwasilisha.

 

good Thanda msalimie sana sana THAndo. ila na mm nagombea wewe na thando mnipigie kura lol!
 
Last edited by a moderator:
Teh teh teh ..Kwani wewe ni kibabu kama Asprin na Dark City ?? haiwezekani chief judge..Afu hapo kwenye kunimisi jamani umenifananisha....

No; hivyo Vibabu unajua Vibabu kweli. Mimi bado M-Uncle bana! Sima nia Ankal wa Dot.Com tu. Kwani wewe Kibibi Gula au unajifanyisha tu?

Kukumisi si mimi ni mtima wa moyo wangu. Ila ni ile ya Ki-Ankal, usijali bana!
 


Mkuu Thanda

Tunakushukuru sana kwa ukarimu wako na moyo wa utoaji, na niseme tu tunathamini sana mchango wako.

Tunajaribu kuangalia uwezekano kuwa mwaka huu ipatikane zawadi kubwa itaakayowafanya watu walichukulie hili shindano more seriously.

Ubarikiwe sanaa!
 
Last edited by a moderator:
tunakwena kuchakachua kura na pesa za zawadi lol! eti Superman mwone huyu anatubania lol!

halafu ujue mwaka mpya itabidi tukeshe wote..................

Mmh Kaizer hana dawa ya tegu la Kunasana? Teeh teeh? angalia Superman is a Superman! You have been warned!
 
Last edited by a moderator:
No; hivyo Vibabu unajua Vibabu kweli. Mimi bado M-Uncle bana! Sima nia Ankal wa Dot.Com tu. Kwani wewe Kibibi Gula au unajifanyisha tu?

Kukumisi si mimi ni mtima wa moyo wangu. Ila ni ile ya Ki-Ankal, usijali bana!
Haya bana na mimi nimekumisi(nilinde nisipewe za uso na gfsonwin )..Nitajaribu kuweka picha yangu hapa uli ujue mie kibibi wa level gani...
 
Last edited by a moderator:
Haya bana na mimi nimekumisi(nilinde nisipewe za uso na gfsonwin )..Nitajaribu kuweka picha yangu hapa uli ujue mie kibibi wa level gani...


Haaaa haaaa Kungwi gfsonwin achana naye bana, kila kizuri anataka yeye. Sasa hivi yeye na AshaDii wako kwa Kaizer. Yaani ni dhambi kwenda mbele, si unajua mambo ya 3S mungu hapendi?

Kama vipi wewe Kibibi Poa uko Kidot.Com zaidi! Weka picha Mkuu!
 
Last edited by a moderator:
tunakwena kuchakachua kura na pesa za zawadi lol! eti Superman mwone huyu anatubania lol!

halafu ujue mwaka mpya itabidi tukeshe wote..................

thubutu yake chezea mume ya mutu wewe... tena huko hakuna safari mama...
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…