Jf comedy star search.

Excellent 4 real !
...Kama ni simu Excellent ni iphone 4s. Anaemfatia atakuwa Siemens ya dole gumba (huku kwetu twaiita Mwalimu nina swali) !
 
mtoto:mama kwanini binamu yangu anaitwa waridi?
mama:kwasababu shangazi yako anapenda sana mauwa
mtoto:je weee mama unapenda nini?
mama:diki embu acha kuulizauliza maswali!
 
1.Excellent
2.M.Shosi
3.Kongosho

EXCELLENT IS A WINNER
 
Back
Top Bottom