JF chit-chat white-brigade!

JF chit-chat white-brigade!

mzee asante hata kwa kunikumbuka,
kwa sasa siwezi kufanya kazi na Arushaone kutokana na kuwa kifanyio chake kipo kwenye chupa huko kwa akina Katavi, hivyo siyo mkamilifu,

Napendekeza nipangiwe kazi na Bishanga, hata iwe ya ukorokoroni niko poa.

Mlezi awe ni Mwita Maranya. Ni mzoefu sana.

Mawasiliano na uchukuzi tumuachie Mamndenyi na Arushaone (Ila kuwa makini msije mkafanya mambo mengine, ref. two opposite side atttact).

Fedha na Mipango i.e Kusaka wathamini tumuachie Mzee mwenzangu Bishanga. Ni mzoefu wa kuomba omba a.k.a kupiga virungu.

Kitengo cha maswala ya Kijamii, hapa atakaa Watu 8, Lady doctor, lady furaha na Husninyo. Nimpendekeza hivyo kwasababu binafsi. Nitazieleza nikipenda, kwasasa nisiulizwe

Ahsanteni.
 
Last edited by a moderator:
Halafu mimi niwe brigade commander wako eeh; utasotaje kwa extra curriculum activities. Yaani kila kitu nikikuambia ufanye jibu lako ni Yes mum.

"Yes Mum"......lol ndo nimeanza
 
mti wenye matunda lazma upopolewe mama. Na nitashangaa kama hana ujue. Yaani mie nlijaribu smali hausi my exkidumu Donn mangi na nikaona hafiki robo ya Paw, nikaacha. So sitashangaa manake he is a dream man, yuko kwenye tv tu na novels. Acha makombo awapelekee maskini, mie nashiba nyumbani hehehe
King'asti una hasira hivyo utakapojua kuwa Paw ana nyumba ndogo humu cc itakuwaje.
 
Last edited by a moderator:
yaani mie nigombane na mtu kwa ajili ya changu cha halali? Mke hajitambulishi, atawatumia atawaacha na kurudi home to ma'am! mie ndo king'asti atii, sigombei mwanaume ng'oooooo! atanigombea yeye:angel:
Lazima tuanze mgogoro na King'asti
ili ijulikane mbichi na mbivu.
 
Ngoja kwanza
kujibu hapa lazima mtu uwe umeshiba
mti wenye matunda lazma upopolewe mama. Na nitashangaa kama hana ujue. Yaani mie nlijaribu smali hausi my exkidumu Donn mangi na nikaona hafiki robo ya Paw, nikaacha. So sitashangaa manake he is a dream man, yuko kwenye tv tu na novels. Acha makombo awapelekee maskini, mie nashiba nyumbani hehehe
 
mmmmmh
yaani mie nigombane na mtu kwa ajili ya changu cha halali? Mke hajitambulishi, atawatumia atawaacha na kurudi home to ma'am! mie ndo king'asti atii, sigombei mwanaume ng'oooooo! atanigombea yeye:angel:
 
Mlezi awe ni Mwita Maranya. Ni mzoefu sana.

Mawasiliano na uchukuzi tumuachie Mamndenyi na Arushaone (Ila kuwa makini msije mkafanya mambo mengine, ref. two opposite side atttact).

Fedha na Mipango i.e Kusaka wathamini tumuachie Mzee mwenzangu Bishanga. Ni mzoefu wa kuomba omba a.k.a kupiga virungu.

Kitengo cha maswala ya Kijamii, hapa atakaa Watu 8, Lady doctor, lady furaha na Husninyo. Nimpendekeza hivyo kwasababu binafsi. Nitazieleza nikipenda, kwasasa nisiulizwe

Ahsanteni.

mi sipendi kazi ngumu ngumu Mzee
 
Last edited by a moderator:
mzee asante hata kwa kunikumbuka,
kwa sasa siwezi kufanya kazi na Arushaone kutokana na kuwa kifanyio chake kipo kwenye chupa huko kwa akina Katavi, hivyo siyo mkamilifu,

Napendekeza nipangiwe kazi na Bishanga, hata iwe ya ukorokoroni niko poa.

kwa stahili hii lazima Arushaone awe wangu peke yangu! Naaaa badoooo, naenda Tanga nikirudi sura ya mume wangu hamtaiona bali mtaona kivuli chake tu
 
Last edited by a moderator:
Mlezi awe ni Mwita Maranya. Ni mzoefu sana.

Mawasiliano na uchukuzi tumuachie Mamndenyi na Arushaone (Ila kuwa makini msije mkafanya mambo mengine, ref. two opposite side atttact).

Fedha na Mipango i.e Kusaka wathamini tumuachie Mzee mwenzangu Bishanga. Ni mzoefu wa kuomba omba a.k.a kupiga virungu.

Kitengo cha maswala ya Kijamii, hapa atakaa Watu 8, Lady doctor, lady furaha na Husninyo. Nimpendekeza hivyo kwasababu binafsi. Nitazieleza nikipenda, kwasasa nisiulizwe

Ahsanteni.

Mzee baadae unitafute una kesi yakujibu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom