JF chit-chat white-brigade!

JF chit-chat white-brigade!

Mkuu si unamjua huyu anavyopenda shikamoo!!! LoL!!! 🙂 🙂 Ndiyo maana hung'ang'ania udada ili azikusanye nyingi.
Yaani FP anavyodai hizo shikamoo kwa nguvu! Zingekuwa pesa sasa hivi angekuwa amefikia ngazi ya fisadi.
 
Mkuu si unamjua huyu anavyopenda shikamoo!!! LoL!!! 🙂 🙂 Ndiyo maana hung'ang'ania udada ili azikusanye nyingi.
ha haaa, hivi na wewe bado sijakuingiza kwenye list za wadogo zangu?
kuanzia leo anza kuniamkia, pona yako ni kusalimisha birth certificate yako kwenye PM, sawa?
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Check your pm, unaweza kupima kwa kuziangalia sharubu pia 🙂🙂

ha haaa, sharubu hata mbuzi anazo, lol!
wewe lete cheti cha kuzaliwa rafiki..... nitakuingiza kwenye list kinguvu kama huleti evidence
 
  • Thanks
Reactions: BAK
​Umeona eeh!!! Sijawahi kuona mtu anapenda na kudai shikamoo kama FP 🙂🙂 dah!!!
sasa nisidai haki yangu rafiki?
watoto wa siku hizi usipowakomalia hawatoi hizo shikamoo
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom