Mzee
Platinum Member
- Feb 2, 2011
- 13,620
- 5,868
Mamndenyi Kifanyio cha Arushaone kina uhusiano gani na kitengo ulichopangiwa?!!!!
Nimeshatoa angalizo hapo juu.
Last edited by a moderator:
Mzee baadae unitafute una kesi yakujibu
Una maana Shem u'mpishi mahiri ?
afu na wewe, dawa yako ikichemka ntakuita!
Lady doctor nihakishie kwanza Usalama. Nasikia Arushaone ni mkali wa karateka!!
kwa stahili hii lazima Arushaone awe wangu peke yangu! Naaaa badoooo, naenda Tanga nikirudi sura ya mume wangu hamtaiona bali mtaona kivuli chake tu
Mzee baadae unitafute una kesi yakujibu
Yeah...... Tena ukija kichwakichwa atakupasua, ustaarabu wako ndio usalama wako we njoo
. . . That my wife.
. . . That my wife.
Kesi hiyo ya kamanda mwenzangu Mwita Maranya nikabizi mimi nimalizane naye honey.
Ngoja nimalize mambo ya uchaguzi ntarudi full mpenzi.
charminglady mbona unaniuzia kesi. nna hasira hapa atakayeleta fyoko i shoot to kill FP niwekee I SHOT THE SHERIFF ya Bob Mlay
Yeah...... Tena ukija kichwakichwa atakupasua, ustaarabu wako ndio usalama wako we njoo
Bado haijachemka tu???
my dear acha kabisa hii habari......:mwaaah: this songi thiz wani?
:noidea:Kweli i swear it was in self defense.
Asante best. leo ndo ulifichwa wapi tena, nimekukosa mahala hehehe
my dear acha kabisa hii habari......
nilifichika kwa zaidi ya wiki..... majukumu best.
umenikosa wapi tena? maana hapa Yerusalemu nimekuwa mgeni kabisaaaa