JF Chit-chat uuuuuuuuuuuuuuwi!!!!

Sie tuko poa kbs shem,
Nashukuru kwa kukuona hmu,pole na majukumu Amy kanambia uko safari!!
Yes shem wangu....
Ila ntarudi kabla ya ijumaa maana kazi nishakaribia kuimaliza.
Rejao yupo?
Dah siku hz naona siwaoni kabisa majukwani au arumeru pamewashika?
 
Poa shem, naiman hujambo!

Wachana kabisa na habari ya chit chat, raha tupu!

Namshangaa huyu anaeichukia chit-chat!
Hana jipya Big X....
Mi wifi yako kaniambukiza kale kaugonjwa kake ka jana yan sina raha kabisa hapa....
 
BW, kabakabana, Erickb52, Amyner, Sweetlady, Mtei one, Cantalisia, kongosho, Husninyo, Tanmo, smiling saint, Bagah, klorokwini, uporoto, duuuh wengine jijazieni hapo!

hii orodha ya nini?
au wale ambao hawajadeki maeneo yao??LOL
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom