JF Chit-chat uuuuuuuuuuuuuuwi!!!!

Wala usijali dogo kila kitu na nafasi yake.....
Chit-Chat ni poa na majukwaa mengine pia yako safi....

Mie pia nilijiunga kipindi cha uchaguzi wa mwaka 2010, mda mwingi nilikuwa nashinda kwenye siasa, mara hamadi nkagundua kuna chit chat looh salale sa ngapi nisiweke kambi moja kwa moja? Lol..

Huwa napita kwenye siasa pia Rejao akinikera narudi zangu chit chat kujipa raha...

AHh hah ah aahhahaa hh ahaha Uwe makini na chit chat lakini
 
Yaani hata sielewi mnaongea nini....... Hivi mnaelewana humu kweli!!!! mi nikisema ifutwe kwanini mnanionea gere..!!!!
 
unaipenda na utazidi kuipenda.
Kama huipendi usirudi tena kwenye hii thread
Tena apotee maana Chit Chat ni kwa Great Thinkers na yeye hana great thinking capacity ila sina uhakika maana km angekuwa nayo asingekuja na hili...
Small x
 
Yaani hata sielewi mnaongea nini....... Hivi mnaelewana humu kweli!!!! mi nikisema ifutwe kwanini mnanionea gere..!!!!
We unatafutwa kufutwa tu maana usidhani walioweka chit chat ni vilaza sana.....
Teh unakula bann ya kudumu ushangae
 
Tena apotee maana Chit Chat ni kwa Great Thinkers na yeye hana great thinking capacity ila sina uhakika maana km angekuwa nayo asingekuja na hili...
Small x

huyu ni kilaza, kama huamini utamuona sasahvi anakuja kuprove kuwa yeye kilaza
 
huyu ni kilaza, kama huamini utamuona sasahvi anakuja kuprove kuwa yeye kilaza
Hahahaaaaa kweli...na akija atajibu....Lol
Kilaza kweli maana tangu asubuhi anakuja anaaangalia then anajibu halafu anaondoka then anarudi tena....
Ngoja tumngoje
 
Watu wengine bana,chitchat ndio imenipatia mume alafu mtu mwingine anataka ifutwe!kwann unatafuta kulogwa bila sababu!hebu tuachie chit chat yetu bana ebo!
 
Watu wengine bana,chitchat ndio imenipatia mume alafu mtu mwingine anataka ifutwe!kwann unatafuta kulogwa bila sababu!hebu tuachie chit chat yetu bana ebo!
Hahahaaaaa waambie hawa vilaza wapotee kabisa na hatuwataki kabsaaaaaaa
 
Hahahaaaaa kweli...na akija atajibu....Lol
Kilaza kweli maana tangu asubuhi anakuja anaaangalia then anajibu halafu anaondoka then anarudi tena....
Ngoja tumngoje

huyu kilaza anachungulia, kinamkereketa anatamani kujibu. Ila atajibu tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom