JF Chit-chat uuuuuuuuuuuuuuwi!!!!

Watu wengine bana,chitchat ndio imenipatia mume alafu mtu mwingine anataka ifutwe!kwann unatafuta kulogwa bila sababu!hebu tuachie chit chat yetu bana ebo!

nawashanga!! Bila chit chat judgement ningempata wapi!
 
huyu ni kilaza, kama huamini utamuona sasahvi anakuja kuprove kuwa yeye kilaza
LIKE...... Naona vilaza mnapeana moyo. wenye akili tunaelewa kina nani vilaza!!!!
Hahahaa amekuja kweli si unamuona hapo....
Lol kweli alikuwa anakata tawi alilokalia hajui kama ni muhimu sana kwake.....
Lol
Big X futa kauli yako ya Chit-Chat uwe na amani
 
Hahahaa amekuja kweli si unamuona hapo....
Lol kweli alikuwa anakata tawi alilokalia hajui kama ni muhimu sana kwake.....
Lol
Big X futa kauli yako ya Chit-Chat uwe na amani

si nilikwambia lazima arudi.
Safari hii atakuja kuprove kuwa yeye anakunya akili. Ngoja tumsubiri.
 
Sijapata kuona vilaza kama nyie... yani bado mnabisha tu. Na kwa taarifa yenu itang'olewa tu.. mtake msitake. bora Preta, Dena amsi etc wameelimika, hawapo siku hizi kwenye hii cheat-chit-chat yenu.
 
Sijapata kuona vilaza kama nyie... yani bado mnabisha tu. Na kwa taarifa yenu itang'olewa tu.. mtake msitake. bora Preta, Dena amsi etc wameelimika, hawapo siku hizi kwenye hii cheat-chit-chat yenu.
Ila wewe umo.....halafu tunakushangaa unaiponda
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom