jf chit chat taaaaamu!

jf chit chat taaaaamu!

hiyo ya blue hapo...nimeipenda! Halafu ukichunguza sana hujamzoea kivile kiasi cha kuaminia kwenye suala la pesa.
Huyo nadhani alikuwa anakujaribu tu..hahahha...hakuwa serious sana..
yaani hata kutongoza hajui
 
ok always upo right but inategemea unanunua kiatu kwa lengo gani, kama ni kuvaa... first priority itakuwa ni size but kama ni cha kumechisha basi utaangalia rangi... sasa ugumu unakuja kukipata cha size unayotaka chenye rangi unayotaka... kwa busara ya kawaida utaangalia size then rangi ukikosa utaaangalia rangi ambayo inaendanaendana rangi ya gauni lako...
HAPO TUSEME MWANAUME NI KIATU NA MWANAMKE NI GAUNI

Mmmh...sijakuelewa,unataka kuniambia kama unavaa size 7 lakini kwakuwa umependa rangi ya kahawia ya kile kiatu utakinunua hata kama ni size 5???...Seriously?!....Kiatu ni mwanaume then mvaa kiatu ni mwanamke and vice versa..ni mfano tu.
 
Mmmh...sijakuelewa,unataka kuniambia kama unavaa size 7 lakini kwakuwa umependa rangi ya kahawia ya kile kiatu utakinunua hata kama ni size 5???...Seriously?!....Kiatu ni mwanaume then mvaa kiatu ni mwanamke and vice versa..ni mfano tu.
priority shud b size colours r suplements
 
acha tu shosti? Mimi sasa hv hata maji ya kunywa sinunui loh mjini hapa
mapenzi bila hisani hayanogi. Sema siku hizi tafsiri kuhusu mapenzi ina utata. Ukisema "nakupenda" unamaanisha "natamani tungonoke" na sijui wanawake wa siku hizi wakoje, MIOYO yao baridiiii! Yaani ule utamu wao umeharibiwa kwa kuanza mapema au wameumizwa sana kihisia hadi hawawezi kujitoa kabisa kwa wenzi wao!!??
 
basi shosti usifanye hivo mwili wako na maisha yako ni vitu vya thamani sana.kama usipojithamini wewe mwenyewe kwanza hamna mtu atakuthamini huku duniani utaishia tu kuumizwa daily
mimi nilipoachwa nilichukia sana nilikuwa nachukia wanaume hvohvo kama wewe ila nikaamua kutulia zangu na kujithamini,yaani utakuja kupata mara kumi ya ulokuwa nae
mwanamke uwezi kutafuta wanaume bwana tulia tu watakuja kama kumbikumbi na hapo utaamua udake yupi .
Chunga k yako.

Smile dada yangu mbona hapo kwenye nyekundu umenichanganya mie msomaji? Kwani Da Mpoleee amesema anawachukia wanaume?

Afu hapo pengine hapo .........dah, naona nazeeka vibaya dadangu maana najionea dabalidabali tu
 
priority shud b size colours r suplements

Thank yuuuu...Now thats wat me & Smile been saying...kuwa,if u dont get a shoe that doesnt fit u simply go to another store...Otherwise,utajitia hasara ya moyo tu..
 
smile dada yangu mbona hapo kwenye nyekundu umenichanganya mie msomaji? Kwani da mpoleee amesema anawachukia wanaume?

Afu hapo pengine hapo .........dah, naona nazeeka vibaya dadangu maana najionea dabalidabali tu
kuhusu mpolee we msome then utajua historia yake na wanaume.anadai kaumizwa sana so anatafuta yeyote wa kumpa tundi ndo maana nikamwambia achunge tundi lake
 
yaani hata kutongoza hajui

Hakuwa na technique maskini...watu kama hawa huwa hawa-socialize watu wengine so hawajui hata jinsi ya kumu-approach msichana...Pole yakeee!
 
kuhusu mpolee we msome then utajua historia yake na wanaume.anadai kaumizwa sana so anatafuta yeyote wa kumpa tundi ndo maana nikamwambia achunge tundi lake

inabidi ampate aliyeumizwa ili wajiliwaze
 
hakuwa na technique maskini...watu kama hawa huwa hawa-socialize watu wengine so hawajui hata jinsi ya kumu-approach msichana...pole yakeee!
kweli shosti wanadai laki si pesa lakini alikuwa kimeo mwili mzima yule
 
unauliza rangi ya mkaa!

Labda kama uliwahi kusutwa humu ndani....lakini humu hakuna umbea,vyote vinavyozungumza havijamtaja yoyote. Sasa sijaelewa huo umbea umetokea wapi...
 
labda kama uliwahi kusutwa humu ndani....lakini humu hakuna umbea,vyote vinavyozungumza havijamtaja yoyote. Sasa sijaelewa huo umbea umetokea wapi...
achana nae moyo ni wale wale hao laki si pesa loh?
 
achana nae moyo ni wale wale hao laki si pesa loh?

Mwenzangu...Nimeshindwa kumuelewa huyu,ndo maana nkataka anifafanulie... Na kweli laki si pesa....:lol::lol:
 
Mpoleeee Dear... Jina lako ulilichagua kwa vigezo gani (if you don't mind saying)
 
Back
Top Bottom