Smile
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 15,347
- 11,610
mwita 25 on duty?hoto:Nani kakudanganya!!!!!!!! huo utamu uko wapi!!!! Mbona wenye akili tunaona ni umbeya tu.
mwita 25 on duty?hoto:Nani kakudanganya!!!!!!!! huo utamu uko wapi!!!! Mbona wenye akili tunaona ni umbeya tu.
Nani kakudanganya!!!!!!!! huo utamu uko wapi!!!! Mbona wenye akili tunaona ni umbeya tu.
Lakini Mpolee anawakilisha kundi kubwa sana la wanawake wa siku hizi ambao mtakiwa mlifanyie kazi. Kuna binti mmoja Katembea na mwanamuziki wa bongo fleva, katembea na waliyekutana naye kwenye fb, kamuongeza mpenzi wa rafiki yake bila kujua katia ndani mume wa shoga yake. Lakini yote hayo kwa sababu anasema alishawahi kutendwa!!
kweli shosti yeye sio wa kwanza kuachwa,watu tumeachwa,tumeacha ,tumeachana,tumeachanishwa lakini maisha yanaendelea
mwita 25 on duty?hoto:
Mimi nimependa jinsi ulivyoibadili hii mada. maana nimesoma alichoandika mpolee sikumuelewa kabisa...gud jobtunataka kumrudisha kondoo wa bwana anaetaka kupotea zizini
by the way heart binadamu tunaendekeza ujinga ni kama mtu unaenda dukani ukakuta kiatu kizuri yes ni kizuri ila so saizi yako.unasema ngoja nikichukue vile kinanibana nitakivaa hvohvo vile ni kizuri.in real situation hutokaa upate furaha ya hvo viatu maana vitakuwa vinakuumiza.mapenzi ni mazuri ila kama hayakupi furaha jua umevaa undersize jipangehuyo alikuwa akiendeshwa na maumivu. Ndio maana tunashauriwa kutofanya maamuzi tunapokuwa na hasira au maumivu makali ya moyo unaweza ukadhani unafanya lililo sahihi kumbe ndo unazidi kujitumbukiza kwenye shimo...mbaya saana! Ila huyo mwisho wa siku atajutia maamuzi yake..
Smile in life we hv to be rough, smart n samtm you have to be lucky also, hakuna kanuni kama zipo ni kwenye maandishi tu na ni subject to time n place, listen tu your heart mpoleeusicheke mkuu In life we all fall down at times ila ndo hvo we have :focus:tobe strong and have all our dreams back
MMMH ACHA NOMA:focus:Mh!:A S embarassed:
ahahaa umenikumbusha kumbe tupo wengi kwenye rough financial managment wewe utanifaa mida ya kuteketeza helasmile in life we hv to be rough, smart n samtm you have to be lucky also, hakuna kanuni kama zipo ni kwenye maandishi tu na ni subject to time n place, listen tu your heart mpolee
mimi nina principle yakuwa rough na mambo yanasonga.
Eti nikae chini na kalamu na karatasi nianze kupanga namna nitakavyotumia mshahara wa mwisho wa mwezi... No way tena hapo nitakuwa nimejiongezea cost nyingine ya time na sitafanikiwa (failure at a higher cost)
by the way heart binadamu tunaendekeza ujinga ni kama mtu unaenda dukani ukakuta kiatu kizuri yes ni kizuri ila so saizi yako.unasema ngoja nikichukue vile kinanibana nitakivaa hvohvo vile ni kizuri.in real situation hutokaa upate furaha ya hvo viatu maana vitakuwa vinakuumiza.mapenzi ni mazuri ila kama hayakupi furaha jua umevaa undersize jipange
ahahaa umenikumbusha kumbe tupo wengi kwenye rough financial managment wewe utanifaa mida ya kuteketeza hela
yeah lakini tabia ya mtu inabadilishika (dynamic wth time n place) kiatu ukikinunua ndio imetokaMwisho wa siku unakigawa kiatu..au unakitia viraka kila siku coz of madole ya miguu kuwa makubwa..ahhahaha. Nimeupenda huu mfano....
y
yeah lakini tabia ya mtu inabadilishika (dynamic wth time n place) kiatu ukikinunua ndio imetoka
ujue watu tu huwa tunakosea mwanzoni unaona mapungufu ya mtu na makero yake unasema haina shida atachange.mimi hata kama tumekubaliana kuanza mahusiano leo yaani ukunikera hata kesho haifiki:flypig:Ukikinunua kinakuwa chako ndio...lakini kama ulikinunua kwa kuwa ni kizuri tu,au kina-match na nguo flan ilhali kiukweli hakikutoshi..hutodumu nacho...hakitazeekea miguuni mwako. Aidha kitazeekea jalalani,au Kwenye mguu wa mtu mwingine ukikigawa...au ndo kitakuwa kila siku mali ya fundi viatu,mwisho utakiacha huko huko akiuze tu.
wewe itakula kwako? kwanini uchukue kitu sio size yako na sokoni bidhaa ni nyingi na mabrand tofauti ya kumwaga?y
yeah lakini tabia ya mtu inabadilishika (dynamic wth time n place) kiatu ukikinunua ndio imetoka
ujue watu tu huwa tunakosea mwanzoni unaona mapungufu ya mtu na makero yake unasema haina shida atachange.mimi hata kama tumekubaliana kuanza mahusiano leo yaani ukunikera hata kesho haifiki:flypig:
:flypig:
unakuta mdada yupo na mwanaume anamlisha,anamvalisha kila kitu anategemea waje kuwa pamoja,irresponsibility man for what? wake up ladiesAfter all..hiyo ni kwa faida yako mwenyewe,mwisho wa siku wewe ndio utaishi nae na ndio utaubeba mzigo wako mwenyewe...# Watu wengine hawafikirii kwamba baada ya ndoa kanisani au msikitini,ukilala usiku huyo ndo mtu wa mwisho kumuona pembeni yako na asubuhi ndo mtu wa kwanza kumuona...maisha yoooote! So tabia zake na vikorombwezo vingine utaishi navyo miaka yote..