Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,716
hakuna kulala kabisa.. ni mpaka saa sita ifike tuupokee mwaka mpya kwa raha
tutakesha wote halafu kumbe ulisharudi nikajua bado upo kifungoni

Nimembana hakuna kutokezea huku ladydoctor anamtaka
Dah, mwaka ushazeeka! Kesho mwaka mpya kesho lakini mbali sana kwani walioko duniani leo siyo wote watakaofika hiyo kesho. MUNGU awalinde wote marafiki zangu.
hakuna kulala kabisa.. ni mpaka saa sita ifike tuupokee mwaka mpya kwa raha
tutakesha wote halafu kumbe ulisharudi nikajua bado upo kifungoni
Mkesha ni wapi na mi nije hukohuko...
Mkesha church tu huku kwingine fujo tu
haya binamu.....nakuaminia huna madhara!