YNNAH
JF-Expert Member
- Dec 6, 2011
- 1,702
- 972
Hahahhaahahaaaaaaa........usinivunje mbavu mie.kameanza kunihamasisha kwa Binamu
Hahahhaahahaaaaaaa........usinivunje mbavu mie.kameanza kunihamasisha kwa Binamu
nimekumiss kiwatengu
Heaven on Earth Heaven on Earth nimekusubiria sana tena kwa hamu kubwa
tokea uniambie utanicheki mpaka leo...
nimejaribu kukucheki sijakupata kabisa!!
Binamu.....Heaven on Earth Heaven on Earth nimekusubiria sana tena kwa hamu kubwa
tokea uniambie utanicheki mpaka leo...
nimejaribu kukucheki sijakupata kabisa!!
fanya mpango wa sisi kutalk kabla mwaka haujaisha, usije kuvuka mwaka na deni..
waiting................
Binamu.....
shemu shemu, mi sina lengo mbaya kabisa.! mi na Heaven on Earth tumetoka mbali ati
since i was 10 and she was 5, toka zile enzi za kupanda miti, enzi za kombolela, yaani we acha tu!!
pole sana kwa kuibiwa.....
Hahahahaaaaaaaaaaaaaaasafi sana kama unamjua mume wako wa zamani.