Passion Lady
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 8,694
- 4,646
MdadA mambo vipi?hope uko njema
mi am guda uran
sijui wewe!!
Last edited by a moderator:
MdadA mambo vipi?hope uko njema
mi niko njema pia,,
Ha ha ha The secretary.. Mbwembwe zote kwishney siku hizi.. Bishanga kala kona.. Maisha yamekuwa ya kubahatisha na salon umehama siku hizi nasikia unapatikana tandale uzuri lol..
Yupo huyu mama, kwani Heaven on Earth wanini? mwenzio shansarie umemuomba ruhusa umtafute binamu yangu....?kwema kabisa ndugu yangu, umenionea wapi Heaven on Earth?
Yupo huyu mama, kwani Heaven on Earth wanini? mwenzio shansarie umemuomba ruhusa umtafute binamu yangu....?
Dah, mwaka ushazeeka! Kesho mwaka mpya kesho lakini mbali sana kwani walioko duniani leo siyo wote watakaofika hiyo kesho. MUNGU awalinde wote marafiki zangu.
Dah, mwaka ushazeeka! Kesho mwaka mpya kesho lakini mbali sana kwani walioko duniani leo siyo wote watakaofika hiyo kesho. MUNGU awalinde wote marafiki zangu.
Amiin, nawe mungu akulinde na akuvushe salama
Yupo huyu mama, kwani Heaven on Earth wanini? mwenzio shansarie umemuomba ruhusa umtafute binamu yangu....?
nafurahia maisha zaidi nikiwa na wewe! mpenzi wa roho yangu