Jf Chit chat! Special Thread: Chrismass & New Year 2014 Wishers!!

Jf Chit chat! Special Thread: Chrismass & New Year 2014 Wishers!!

yeye siyo wa kutafuta kwa ruhusu, we are friends since i was 10 and she was 5
there now u can experience the difference
Kweli naexperience, kwa hiyo mmcheza wote kibaba na kimama, pia ulemchezo wetu wa jioni wa kombolela.....
 
ombi langu ni moja uongeze upendo na kufanya kazi kwa bidii ili tuwe na maisha bora

honey kumbe upendo hauna mwisho?
hapa ninavyokupenda najua ni maximum kabisa..kumbe natakiwa niongeze zaidi.
naongeza zaidi na zaidi mpenzi wangu.

Kuhusu kazi, nitafanya kwa juhudi zote kabisa
na MUNGU atusaidie.
 
Ameeen
 
Mbona sosoliso hutaki kunisalimia jamani acha kuutesa moyo waangu shemeji
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom