Passion Lady
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 8,694
- 4,646
​hahahaaa!!tuwajungue kina naniliii lol!!umeonaee.... Ngoja na sie tugonge kile chetu cha ndani kabisa
​hahahaaa!!tuwajungue kina naniliii lol!!umeonaee.... Ngoja na sie tugonge kile chetu cha ndani kabisa
​hahahaaa!!tuwajungue kina naniliii lol!!
ni shwari sana..vipi mambo ya christmas..hope mmefurahia
nipo kwenye uchunguzi!!
sijajua urafiki wako na mke wangu ulianza lini
Ahahaa 'mi na wivu sikatai ila raha ya mapenzi naijua usije kunilaghai .....ngololoi ngololoi punguza wivu
Nimekumiss sana!
we ona kama ni wivu, but to my wife shansarie, i can kill a person
Umesahau msemo usemao ukisusa wenzio wala
Ha ha ha The secretary.. Mbwembwe zote kwishney siku hizi.. Bishanga kala kona.. Maisha yamekuwa ya kubahatisha na salon umehama siku hizi nasikia unapatikana tandale uzuri lol..
they already know....
Thank you.Same to youZion Daughter
''Blessed, Highly favored...." umenikumbusha songi moja nalipenda sana...
Happy holidays my dada....
kaka kwema lakini....?sina uwezo wa kukuogopesha kabisa mkuu.