Nimekosa nauli
Kheri na fanaka za krisimasi ziwe nawe pia mkuu
Kama hamtaki matusi msimchokoze asee
Je, umeshaanza kuwashukuru Watu.. kwa mambo waliyoyafanya kwako tokea 01/01/2013? Hebu fikiri Watu Wasikupigie simu, Wasikujibu Msg, Ukipiga wasipokee, je Simu yako itakuwa na thamani? Anza leo kuwashukuru, Mimi ninaanza kwako. Ahsante sana kwa Msg zako nzuri. Nimezipenda!!! Zimenionya, Zimenikumbusha, Zimenifundisha, Zimenifariji, Zimenitia Moyo na kunifanya nipige hatua kwenda mbele. Heri ya Christmas na mwaka mpya.
Salamu zangu ziwafikie wafuatao.
@Maxence Mello@Slaa jakaya Kikwete Lissu Anna Tibaijuka Mzee Mwanakijiji GODBLESS Lema Nape Nnauye Madame B Arushaone bily kobun Chocs Mamndenyi Matola Kurugenzi ya Habari Tumaini Makene Ben Saanane Yeriko Nyerere Heaven on Earth Paw Invisible Katavi farhkina Lady doctor CUTE Fang Spiderman Bujibuji Ngongoseke shansarie kiwatengu Moderator Inovator na wengine Nawatakia kila la heri katika kumaliza mwaka huu na kukaribisha mwaka mpyaa.
nipo kwenye uchunguzi!!
sijajua urafiki wako na mke wangu ulianza lini