shansarie
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 5,690
- 3,370
Hny..nyumbani ni nyumbani
Hata kama milima ni mikali...
Mmmmmmh kweli
Hny..nyumbani ni nyumbani
Hata kama milima ni mikali...
Uniletee parachichi
Ameachwa kitambo huyu mpaka amesahau mwenyewe kama alikuwa na hazbandi lol..
kuumbe! Asante Mungu maombi yangu yamesikilizwa
Shem...kwani The secretary aliacha au aliachwa.
Simtakii mabaya....
Namkaribisha sana. Nataka tena hata Lady doctor akipata muda wa peke yake aje tu...
Afu ujue hny..xmass huku imekaa vyema sana
Kwani hamko pamoja huko migombani..?