Jf chemsha bongo

Dingswayo

JF-Expert Member
May 26, 2009
4,019
2,923
Wana JF tuchemshe bongo kidogo kwa kuulizana maswali. Naanza kwa kuuliza:

Je Mtaa wa Rufita (Rufita Street) ulipata umaarufu katika kitabu gani? Mwandishi wa kitabu hicho alikuwa ni nani?
 
Anaitwa FARAJI KUSEIN HASSAN KATALAMBULA.jina la kitabu ni SIMU YA KIFO.au uongo?
 
hapo umenichemsha bongo kwelikweli...co kwamba CFAHAMU bali CJUIIIII...WALA CJAWAH KUCKIA KITU KAMA HICHO...asante kwa kunielimisha
 
Quiz nzuri sana

naweka la kwangu wanaJF,..Ni kwa nini Nyoka akipatwa na kidonda/jeraha ni mpaka afe tofauti na wanyama wengine kama mbwa n.k ambao wao upona?
 
Nadhani anapona, inategemea ni aina gani ya kidonda na kipo wapi.
 
Ina maana Mkuu Rweye,unataka kutwambia kuwa we ni mfuga nyoka au?maana ni vigumu kuniingia akilini kuwa ulimfuatilia nyoka aliyepata kidonda na mpaka kushuhudia akifa.Sasa kama hivyo ndivyo yawezekana wakati unamwona nyoka huyo alishakaa na kidonda hicho kwa muda mrefu,lakini pia kama umefanya research ya suala hilo yawezekana ulienda snake park ambapo wale nyoka ni sawa na wanafugwa hivyo ni sawa na kufanya research ya jambo furani kwa kuku wa kisasa then ukaja na conclusion juu kuku wote yaani hata wa kienyeji ujue utakuwa wrong??Mi nadhani inategemea na nyoka mwenyewe kapata jeraha katika mazingira gani,na kidonda ni kikubwa kwa kiasi gani.
 
Hapana mkuu mie sifugi nyoka ila ni ka utafiti nilikokafanya kadogo kwa kuongea na wenye uzoefu na aina za Nyoka

Jibu;Nyoka tofauti na wanyama wengine anategemea sana udongo kama chakula chake kikuu na kamwe hali majani wakati wanyama wengine hula hata baadhi ya mimea/majani ambayo huwapa kinga flani pindi wanapougua ama kuumia na kupona kiurahisi
 
Hapana mkuu mie sifugi nyoka ila ni ka utafiti nilikokafanya kadogo kwa kuongea na wenye uzoefu na aina za Nyoka

Jibu;Nyoka tofauti na wanyama wengine anategemea sana udongo kama chakula chake kikuu na kamwe hali majani wakati wanyama wengine hula hata baadhi ya mimea/majani ambayo huwapa kinga flani pindi wanapougua ama kuumia na kupona kiurahisi
Mwacheni Mungu aitwe Mungu,hiyo itakuwa ni ecosystem mbayo iliandaliwa naye.Hivi wangekuwa hawafi kirahisi hivyo,si wagejaa sana????????na wanavyotisha jamani,sitaki hata kuimagine.Nionyeshe vitu vyote ila si nyoka
 
Jingine jipya kuku akilalia mayai 30 ya bata atazaa vifaranga vingapi? Na bata akilalia mayai 10 ya kuku kwa siku 30 atapata vifaranga vingapi?
 
Back
Top Bottom