JF Chat: All members chat

JF Chat: All members chat

gran pahz wanyime ubuyu kwa wajukuu wao? Lazimaa wasambazeee ili ubuyuu uende viral,

Wazee wa JF pepo ya nyapuu iko videvuni mwenu, nasemajeeee.
Tusuaaaa babaaaa, tusuaaa babaaaa, anzaaa mwanzooooooooo!!!
Hataree sana 😂😂😂
Ma gran pah z hawana baya Igweeeeeee
 
uduguuu ntaporwaaa cm plz, nimeambiwa uchizi nkafanyie huko nje.

Kuvurugwaaaaaa woyeeeee!!! Hamadiiii hamadiiiiii, Sado hilii hapaaa.
Majiraniiiii hukuuuuuuu,
Woyeeee!! 😂😂😂
Mwenyewe na type huku mbavu zinauma.!!
Kipipa kapigwa na kitu kizito.!!

Alijua mzee wa mafuta Romeo ajifanye Julieth kumbe aah wapi.!!
Kula tyuuu kuoga aaahh 🤣
 
Hawana hiyanaaa kabisaaa!!! Igweeeeeee, igweeeeee!!
Nilijua tyuu magran hawezi kutulia na ubuyu km huu.!! 😂😂😂
Na wanavyonielewa mjukuu wao sasa!! Awww hii lazima ilikuwa nipewe kijiwe kidamshi.!! Kipipa unalooooo pyeeeeee.!!
Halafu kujifanya mtoto uache lione kwanza 🤣🤣🤣
 
Nilijua tyuu magran hawezi kutulia na ubuyu km huu.!!
Na wanavyonielewa mjukuu wao sasa!! Awww hii lazima ilikuwa nipewe kijiwe kidamshi.!! Kipipa unalooooo pyeeeeee.!!
Halafu kujifanya mtoto uache lione kwanza
uduguu umeanzaaa kumchambaa kipipa wetuu? Na umeambiwa ana stress kachoka afu kachoka tenaa.

Unataka kumuua kwa preshaaaa?
Watu weuweeeee!!! Ubuyuu tunao na tunatambaa naooo.

uduguu umeanzaaa kumchambaa kipipa wetuu? Na umeambiwa ana stress kachoka afu kachoka tenaa.

Unataka kumuua kwa preshaaaa?
Watu weuweeeee!!! Ubuyuu tunao na tunatambaa naooo.

Kipipa yeye atajiju sio shida zetu 😂😂😂😂
Na kisukari kitampanda sana mwaka huu.!!
Unajua nilishangaa huyu mbona kawa kichaa sio kawaida hii kumbe tayari mzee wa mawese kampa kikono 🤣
 
Back
Top Bottom