JF challenge ya "NO REFORMS, NO ELECTION": Target replies 3K

Hapa ni NO REFORMS NO ELECTION ndicho tulicho nacho
Idadi yenu mpaka muda huu hamjafika mia mbili wanaochangia uzi huu.

CCM wana wanachama milioni 13.5 kwa takwimu za 2020-21 mnao mlima mrefu sana wa kupanda mpaka lengo lenu liweze kutimizwa.
 
Ngoja ni-push hiyo 3k hata peke yangu iwe ndo mchango wangu kwenye hili taifa hata nikifa Leo nikumbukwe kwenye hili... No reforms no election
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…